Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Unaamini mambo mazito kuwa mepesi sana.mkuu😎...
Mambo ni vile unavyoyatazama mamii! If you complicate stuffs utakuwa na maisha magumu ever! Jenga attitude ya kuona vitu in its simplicity rather than complexity, hutakaa uwe na hofu katika kukabiliana na changamoto za maisha yako!

Hamna mapenzi bila sex sikuhizi, ukichagua path hio jiandae kisaikolojia tu!
 
Mimi nilishakua na mtu wa hivi..akijisikia yeye ananitafuta asipojisikia ndo Basi Tena..Nikawa nawaza hivi kweli mtu anakosa kabisa muda wa kunitafuta..Tena makusudi...kufatilia baadae kumbe kuna mambo yanaendelea

Sikutaka kupoteza muda wangu..nilipochanganya na makosa mengine basi niliamua kuondoka,nilimwambia hauji kupata mtu atakaye kupenda km nilivyofanya mimi...hakuamini maana alijua sitaweza kuondoka(weakness yangu Ni kupenda kupita kiasi)
Huyu Mungu alivyo mwema naendelea na maisha yangu miaka inazidi songa

Atakukumbuka baadaye...na muda utakuwa sio rafiki...
Usije thubutu kurudi kwake..mm Ni Bora nibaki single maisha yangu yote kuliko kurudi kwa yule shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mpenzi kwa ujasiri
 
Back
Top Bottom