Hahahah kuweni wawazi tu bana πππ mtakosa waume!ππ woooi, tusipojipa moyo wenyewe itatu cost maana nyie wenyewe mwaja na vimaneno vichungu ka sumu..!!
Hahahah
We m kuna hyo jamaa aliniganda miaka minne jamn najitahd kumuonesha dalili kuwa aage mashindano lakn jamaa yumo tu mpaka nkawa najiulza hyu anataka anitoe kafara ama sasa hyu bibie nilivoona anataka atamkiwe na nna iman akitamkiwa anaeza omba msamaha asiachwe[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMawazo yangu yanawaza muhusika ni wew, comments zako inaonesha umefurahi kweli ππππ
Lazima yani
Hapa kuna pointNimesoma baadhi ya maoni ya wadau humu, umetolewa ushauri very constructive.
Binafsi nimegundua Miss aggyjay unamnyima mwenzako mapenzi ndio maana huyo Boyfriend ako akaona bora ajiweke pembeni kwa style hiyo ya kujifanya yuko busy. Hilo yawezekana ndiyo mpango na msimamo wako labda hutaki sex mpaka ndoa, au mpaka uposwe n.k jambo ambalo mwenzako ameona kuchelewa au hakuwa na malengo yeyote na wewe zaidi ya uboifrendi na ugelofrendi tu.
Binafsi niliwahi kuachana na wadada 3 ambao walikuwa na mtazamo huo wa hakuna sex hadi ndoa, vitu vingine wanawake huwa mna complicate ikiwemo hilo suala la kunyimana kuti**na. Kwa Dunia ya sasa kushiriki ngono na mpenzi wako imekuwa sio option tena bali ni MUST kwa kuwa Tendo lile ndio Chachandu yenyewe ya kuboresha mahusiano kufikia NDOA.
Miss aggyjay tafakari umekosea wapi ili uweze kumrudisha ndege wako Tunduni.
Huyu manzi ni zero brain,jamaa kasepa kimya kimya,kashtuka mapema,sijui kwanini huyu mwanamke hajiongezi,kwa maelezo yake,nimegundua kuwa mwana ana demu mwingine mwenye vigezo zaidi ya huyu..muache tu apambane na hali yake!Duuuhh kazi sana, na utu uzima wako mkuu..hujui tu jamaa HAKUPENDI????
Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?
Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!
Unajiuliza hali? Hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?
Hata muda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana, ni Jumatatu mpaka Jumapili, asubuhi hadi usiku, usiku hadi asubuhi.
Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani, wewe ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?
Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.
Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba ila akaweka simu pembeni bado yale yale yanaendelea.
Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi utaweza kujenga familia?
Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
Manengelo rudisha avatar basi ..nimeimisssio wanaume tu ....hata wanawake hatupend mausumbufu kwakweli..!
Kumbe na nyie huwa mnaumia ..nilidhani mnapenda hela tu ..kumbe mna hisia
Mkuu umenichekesha sana mpaka machozimissed call moja inatosha kwan ana figo yako?
Manengelo rudisha avatar basi ..nimeimiss
Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?
Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!
Unajiuliza hali? Hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?
Hata muda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana, ni Jumatatu mpaka Jumapili, asubuhi hadi usiku, usiku hadi asubuhi.
Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani, wewe ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?
Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.
Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba ila akaweka simu pembeni bado yale yale yanaendelea.
Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi utaweza kujenga familia?
Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
Ahsante sana aggyjay uzi wako umenisaidia sana kiukweli nimepata majibu nilikuwa nataka, nipo in the same situation,
Mie pia hatujawahi hata onana ila hivi recently mabadiliko ni ubize uliokubuhu.!! Niliwahi ondoka lakini akagoma anasema ni majukumu nisiondoke.! Na akanilaumu sana why nakuwa sina uvumilivu while mwenzie hapo nimevumilia to the last drop.. Nilivyo mpuuzi nikarudi tena ila sahivi things have become more worse.!
Hapa I texted him since satano nimemuambia tu awe mkweli mbona nitaenda bila tatizo maana nishajiandaa kisaikolojia kuwa that love has already faded away.!!
Hajajibu mpaka sasa.!! Haha' nacheka kama mazuri.!!
Woooiii' tujiondokee zetu hebu.!! We're better than that.!!
Unamtumia ujumbe WhatsApp asubuhi
Inaonyesha blue tick halafu haujajibiwa mpaka siku mbili
Ina maana kaweza kusoma salam mfano "mambo"
Ila hakua na mda wa kujibu poa...alikua bize..hahahaa
Huu ni ubize??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuambia kitu :UNAISOMA NAMBAπππJamani..mda wote ukiangalia last seen inaonyesha SAA hiyo hiyo lakini anadai hashiki simu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Waume humu..?????Hahahah kuweni wawazi tu bana πππ mtakosa waume!
Nimeshaachia ngazi mpenzi..!!Yaan hamjawah onana lakini anakuwa busy hvo?jaman msijiweke desperaate sana..aku!