Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #381
Haswa mambo yawe machache mno! Hatuna mda zaidi wa kupoteza!Ama kweli wewe ni Extrovert hahaaaaa...
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mambo ni vile unavyoyatazama mamii! If you complicate stuffs utakuwa na maisha magumu ever! Jenga attitude ya kuona vitu in its simplicity rather than complexity, hutakaa uwe na hofu katika kukabiliana na changamoto za maisha yako!Unaamini mambo mazito kuwa mepesi sana.mkuuπ...
Hahaha acha ukorofi wa kimangi, utapata raha katika mapenzi manka!Woooi..!!
Umezidisha maufundi punguzaaS bora hata angekuwa mmoja yan we acha tu kama wanne alafu miaka ka minne unazongwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh Sio kweli, angalia tena
Hongera mpenzi kwa ujasiriMimi nilishakua na mtu wa hivi..akijisikia yeye ananitafuta asipojisikia ndo Basi Tena..Nikawa nawaza hivi kweli mtu anakosa kabisa muda wa kunitafuta..Tena makusudi...kufatilia baadae kumbe kuna mambo yanaendelea
Sikutaka kupoteza muda wangu..nilipochanganya na makosa mengine basi niliamua kuondoka,nilimwambia hauji kupata mtu atakaye kupenda km nilivyofanya mimi...hakuamini maana alijua sitaweza kuondoka(weakness yangu Ni kupenda kupita kiasi)
Huyu Mungu alivyo mwema naendelea na maisha yangu miaka inazidi songa
Atakukumbuka baadaye...na muda utakuwa sio rafiki...
Usije thubutu kurudi kwake..mm Ni Bora nibaki single maisha yangu yote kuliko kurudi kwa yule shetani
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah!we m sikuwa nikishirikiana nao kimwili wote walikuwa na marriage proposal
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yan wwHahah nadhani blacklist ndio approach nzuri zaidi! Tatizo sina app nzuri kwa ajili ya hio shughuli. Nyingi zinaruhusu simu iingie kwanza halafu ndio zinakata.
Mtu atahisi kabisa umemkatia.
Ndomana nkasema sina ukameutabadilisha wangapi au ushakuwa jamvi la wageni!
thanks to god the almighty
Haha'..!! mburaaa.!! Mie siyo wa huko Mkuu..!!Hahaha acha ukorofi wa kimangi, utapata raha katika mapenzi manka!
We si unaitwa Lily kwanza nakujua πππHaha'..!! mburaaa.!! Mie siyo wa huko Mkuu..!!
Lily!? Uwiiih' nimecheka kwa sauti.. Yaani nina jina la Kiswahili kabisaaa hata halifananii.!!We si unaitwa Lily kwanza nakujua πππ
Lily!? Uwiiih' nimecheka kwa sauti.. Yaani nina jina la Kiswahili kabisaaa hata halifananii.!!
Amini Mkuu ndo muujiza,Mmh, mie hata siamini njoo chemba unieleze vizuri!