[emoji1][emoji1][emoji1] nipe no yake manSiwezi acha tafuta pesa kisa wewe!!!!
Sent using Uncesored Device
That's the spirit...Thanks.... im just Happy with my life
Muda utafika , Mtu sahihi atakuja ,anaedeserve upendo Tena Zaidi ya ule,I always pray for this
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kuweni na huruma basi, ogopa sana chozi la mwanamke linalo toka kwa ajili yako,laana nyingine huwa mnajitafutia wallah.
Hahahah hamna nimempa mshawasha tu, asijione katengwa sana maskini maana nmegundua ke wengi jf wapo desperate ila ni kujitia ukomando kipensi tu majukwaani humu!
Basi ulifurahiiinishakuta sms kwenye simu ya baby wang manzi analalamika km ww unavyolalamika kwamba hatafutwii na bra bra kibaooo ila kwa upande wng mshikaji ananitafuta balaa 24/7 nilichokugudua km anakupenda LAZIMA atatenga muda kwa ajili yako..my dia hapo utakiwi toka mdog mdgo yan tena kmy kmy
Jaribu kujifanya bize kama yeye, jisahaulishe tu jifanye haupo kabisa then angalia reaction yake!Jamani..mda wote ukiangalia last seen inaonyesha SAA hiyo hiyo lakini anadai hashiki simu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hamna nimempa mshawasha tu, asijione katengwa sana maskini maana nmegundua ke wengi jf wapo desperate ila ni kujitia ukomando kipensi tu majukwaani humu!
Wala usiwe na jakamoyo lazizi ikiwa we ndio nyota yangu ya jaa! Te amo..dulzura de mi vida!
Pole mpenz wangu, nini zaidi kinasumbua pipi wangu?Desperation itatuua.. Halafu naumwa mwenzio Leo hata sijakimbia vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] "pipi wangu" daaaahhh MMU [emoji119]Pole mpenz wangu, nini zaidi kinasumbua pipi wangu?
Acha umbeya babu lala, mida ya ala za roho hii! πππ
Misuli inasumbua mpenzi.. itabidi kesho nikache kukimbia niende gym aisee..Pole mpenz wangu, nini zaidi kinasumbua pipi wangu?
Ooh yes bbz hebu kacha for a while, misuli imeshindwa kuhimili tension. Hata gym patakuumiza tu mpenz why not do a recess?Misuli inasumbua mpenzi.. itabidi kesho nikache kukimbia niende gym aisee..
Sent using Jamii Forums mobile app
A godly woman.Thanks.... im just Happy with my life
Muda utafika , Mtu sahihi atakuja ,anaedeserve upendo Tena Zaidi ya ule,I always pray for this
Sent using Jamii Forums mobile app
πππAcha umbeya babu lala, mida ya ala za roho hii! πππ
Sababu huwa sistretch kabla/baada ya kumaliza mbio.. nataka enda gym kesho nikanyooshe mwiliOoh yes bbz hebu kacha for a while, misuli imeshindwa kuhimili tension. Hata gym patakuumiza tu mpenz why not do a recess?
Heshima yako bro, ngoja watoto tukalale πππAcha umbeya babu lala, mida ya ala za roho hii! πππ
Oh yeah af stretching ni muhuimu sana, when i was doing resistance exercises nilikuwa nafanya baada ya mazoezi. It helps to relax them musclesSababu huwa sistretch kabla/baada ya kumaliza mbio.. nataka enda gym kesho nikanyooshe mwili
Sent using Jamii Forums mobile app