Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Nakuona mpenzi unachombeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hamna nimempa mshawasha tu, asijione katengwa sana maskini maana nmegundua ke wengi jf wapo desperate ila ni kujitia ukomando kipensi tu majukwaani humu!

Wala usiwe na jakamoyo lazizi ikiwa we ndio nyota yangu ya jaa! Te amo..dulzura de mi vida!
 
nishakuta sms kwenye simu ya baby wang manzi analalamika km ww unavyolalamika kwamba hatafutwii na bra bra kibaooo ila kwa upande wng mshikaji ananitafuta balaa 24/7 nilichokugudua km anakupenda LAZIMA atatenga muda kwa ajili yako..my dia hapo utakiwi toka mdog mdgo yan tena kmy kmy
Basi ulifurahiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah hamna nimempa mshawasha tu, asijione katengwa sana maskini maana nmegundua ke wengi jf wapo desperate ila ni kujitia ukomando kipensi tu majukwaani humu!

Wala usiwe na jakamoyo lazizi ikiwa we ndio nyota yangu ya jaa! Te amo..dulzura de mi vida!

Desperation itatuua.. Halafu naumwa mwenzio Leo hata sijakimbia vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hili nalo linahitaji fedha za kigeni kutambua kuwa huyo uliyenaye hakupendi?
 
Back
Top Bottom