Mpenzi aliye "busy" siku zote

Unajua machungu yoyote huwa yanaambatana na funzo!
Kiukweli mkweo sasa nimeshakuwa conco acid, nayatazama mapenzi katika dimension tofauti sana na ilivyokuwa awali, inshort nimefuzu Afcon ya mapenzi!
Haya ubazazi mwema.
 
Wanawake wenye moyo kama wako wamebaki wachache ,Piga chini huyo jamaa utashidwa kutimiza yale ya msingi wapo wanaume kibao utapata wa viwango vyako .
 
Wanawake wenye moyo kama wako wamebaki wachache ,Piga chini huyo jamaa utashidwa kutimiza yale ya msingi wapo wanaume kibao utapata wa viwango vyako .
Tayari mkuu..nshamfuta
Kwa kweli nahukumiwa sana lakini mi mwenyewe ni dhaifu na napenda kupiga kiasi kiasi na kuwa nahisi kuumia.pia nna uvumilivu na kuamini kila MTU ana mapungufu na kuna baadhi ya mapungufu unaweza kuyarekebisha.
I admit I was blinded by love now nimegundua ukweli sijapendwa.basi yameisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kubaki mwenyewe sio kweli! Utajinunisha ila akija mwengine unaunga nae tela!

Aisee kwani una umri gani?

Mbona unamtesa huyu Dada?

Hata kama amekuudhi, siyo sawa kuja humu kumuattack. This is boyish!
 
Aisee kwani una umri gani?

Mbona unamtesa huyu Dada?

Hata kama amekuudhi, siyo sawa kuja humu kumuattack. This is boyish!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ namchangamsha tu mkuu, usichukulie hivyo bana au wewe mgeni humu!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ namchangamsha tu mkuu, usichukulie hivyo bana au wewe mgeni humu!

Duh usipende kuwaumiza wanawake Aisee, hawa viumbe wanajua kupenda sana, sasa uki default wanateseka kweli.

Ila kama ushamtenda acha kumsumbua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…