Ndo maana last seen yangu kwa watsapp inaonesha nliingia watsapp Mara ya mwisho January 5 ,2019. Install fm watsapp wear msela kuepusha migogoro na watotoJamani..mda wote ukiangalia last seen inaonyesha SAA hiyo hiyo lakini anadai hashiki simu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app