Mpenzi aliye "busy" siku zote

Wewe itabidi uje tujenge maisha pamoja...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado ujachelewa jipange upyaa na ukiacha acha kweli
 
dah pole sana nmeyapitia yote uliyoyaandika nashukuru Mungu nliugundua ukweli mapema nkaweza kuwa kmya ad yeye mwenyew akajirud lakin akawa ameshachelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nn nimesoma huu Uzi, maana kila kitu maumivu napata mm. Men men mennnnnnnn!
 
thanks to this thread imenikutanisha na mtu mmoja muhimu sana aliyenisaidia ku move on na kubadili fikra zangu in a positive way..!
MUNGU ambariki sana!!
 
Ukiachwa achika
 
TENA anamnyima sio kwamba waliopita hawakula...ila sasa hivi ndio anzuiliw amtu la hasha..labda awe bikra ndio aninyime tu hadi uweke ndani ila kama sio bikira basi hizo swaga hata mi siwezi kubali
 

ishakula kwako chalii yangu
 
Endeleen tu kuumia.Si mnawataka wa ma phd na busness ndio wawe wapenz wenu.Tukija na degree zetu moja plus mapenz ya kwel mnatupiga chin.Endeleen kuteseka mpaka akil ziwakae sawa.Kama hela anakupa ww endelea tu kukomaa nae mana nyie si pesa kwanza bana
 
Ningesema neno kama usingeweka 'degree zetu moja'..!!
Enwei, shukrani kwa baraka mkuu.!!
 
thanks to this thread imenikutanisha na mtu mmoja muhimu sana aliyenisaidia ku move on na kubadili fikra zangu in a positive way..!
MUNGU ambariki sana!!
upo fasta ku-move on mkuu
penzi likiisha huwa inauma sana ila cha muhimu uwe na tahadhari tu usijekuangukia mule mule
 
Hiyo post ni ya March, either way ahsante sana kwa ushauri mkuu.!!
kuna jambo limenitokea mtu anataka yeye ndo atafutwe tu na visa vya kitoto kibao kama so matured
sometime ni bora kukubali kuwa na maumivu kisha uka-move on kuliko kuendekeza upumbavu
 
kuna jambo limenitokea mtu anataka yeye ndo atafutwe tu na visa vya kitoto kibao kama so matured
sometime ni bora kukubali kuwa na maumivu kisha uka-move on kuliko kuendekeza upumbavu
Ipo siku utayavuka hayo maumivu na itabaki historia..!!
Pole sana mkuu.!
 
Habari ya siku nyingi aggyjay, za kunisusa, na block juu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…