theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Wewe itabidi uje tujenge maisha pamoja...Mimi nilishakua na mtu wa hivi..akijisikia yeye ananitafuta asipojisikia ndo Basi Tena..Nikawa nawaza hivi kweli mtu anakosa kabisa muda wa kunitafuta..Tena makusudi...kufatilia baadae kumbe kuna mambo yanaendelea
Sikutaka kupoteza muda wangu..nilipochanganya na makosa mengine basi niliamua kuondoka,nilimwambia hauji kupata mtu atakaye kupenda km nilivyofanya mimi...hakuamini maana alijua sitaweza kuondoka(weakness yangu Ni kupenda kupita kiasi)
Huyu Mungu alivyo mwema naendelea na maisha yangu miaka inazidi songa
Atakukumbuka baadaye...na muda utakuwa sio rafiki...
Usije thubutu kurudi kwake..mm Ni Bora nibaki single maisha yangu yote kuliko kurudi kwa yule shetani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app