Mpenzi aliye "busy" siku zote

nawajua wenye mapenzi ya ivo wanajiskiaga sn alf wanajikuta sijui nani yanii na akijua una mpenda ATAKUSUMBUA SANA kaa kmy ata wiki ni ngum sana mwanzoni ila utazoea.
Sawa mkuu..ila hivi viumbe vya mikia ya mbele vimenichosha.
Ntabaki tu peke angu npambane na hali yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badilisha Avatar, huenda akabadilika[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sasa, hata mi imenikuta kuna manzi tunapendana sms kila siku, baada ya muda akawa sms hajibu, unampigia hapokei na tena hakutafuti Utasikia ni bussy mara wazazi had sasa napiga ananikatia simu makusudi

Lakn nikaja kugundua tiyar anamshikaji mwingine penzi lake amelielekeza huko , Ikabidi nitulie tu!!! Japo roho inauma


So na ww ni uhakika %100. HAKUPENDI



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu hapo ni moja tu...HAKUPENDI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ..sasa sijajua hapo mojawapo ni lipi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeamuaje mpenzi wangu labda nikwambie kitu hamna kitu inakuaga mgumu kumtamkia mtu direct kuwa humpend ila huwa zinatumika ishara fulan ili angalau agundue aage mashindano shda huwa inakuja pale mtu hyo anapogoma kuaga mashindano jamn inaleta shda yan acha tu kwa nn hutak kuaga mashindano ya AFICON

Sent using Jamii Forums mobile app
 
missed call moja inatosha kwan ana figo yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…