Mpenzi aliye "busy" siku zote

Hata mimi nikishamchoka mpenzi wangu huwa najikuta sina muda naye kabisa....na anavyolalamika ndivyo naona ananichefua...kwa hiyo umeshachokwa
 
Aahhh sawa , mimi kwa mawazo yangu. Nakutokana na ulichokiandika.


Nikwamba, wee unampenda .najamaa hakupendi .

Au unataaka kila mara mchat na kuongea?? Ikiwa sio. ..haingii akilin umtafte kwa meseji au simu alafu asikujib nabad hata akipata muda asikutext kukujulisha.


Ila yote kwa yote moyo ni wako
 
Mi siwezi kurupuka kufanya maamuzi.sababu nna nia ya kweli.
Sasa nkimbana aseme anadai bado ana nia
Mi aniambie tu kama hana nia.nasepa
Hapana shida
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu. Nko njia panda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuhh kazi sana, na utu uzima wako mkuu..hujui tu jamaa HAKUPENDI????
Mara nyingi mtu anajua kuwa hapendwi sema anaukwepa ukweli.
Nadhani aggyjay unaujua ukweli kuwa hakujali/hakupendi na nafikiri baada ya kusoma mawazo ya wengi hapa(na sio yale uliyojiandaa kuyasikia ya kukufariji...) utachukua hatua stahiki.

Anza urafiki kabla ya mapenzi.Wasiliana na mtu vya kutosha kabla ya kuanzisha mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…