Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #81
Kumbe unapenda huo mkia wa mbele unakukuna vzr
Bas tulia usitoe kashfa kwao
Kwa style hii watakuingizia mkia wao na kukukimbia bas
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ubize tu usiwaze, wa kwangu mwanzoni aliona kama simpendi, najiskia, siko na malengo nae haya ni maneno yake. Ikatokea trip nikafanya figisu tukaenda wote pori na tourists Manyara National Park akaona mambo yalivyo. From there hua hana malalamiko tena. Ila ubize huo umezidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana halafu unakuta ndio umekufa na kuoza kwakeHivi unaweza kudate na mpenzi alie bize wiki nzima?
Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku..hata umtext hajibu,utapiga missed calls hata kumi simu haipokelewi..hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!
Unajiuliza hali?hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?
Hata mda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana..ni jumatatu mpaka jumapili..asubuhi hadi usiku..usiku hadi asubuhi.
Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani...we ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?
Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.
Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba..ila akaweka simu pembeni bado Yale Yale yanaendelea.
Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi..utaweza kujenga familia?
Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
Unachokisubiri utakipata.Mi siwezi kurupuka kufanya maamuzi.sababu nna nia ya kweli.
Sasa nkimbana aseme anadai bado ana nia
Mi aniambie tu kama hana nia.nasepa
Hapana shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana kwenye whatsapp settings, kipengele cha Last seen naweka No body can view.
Huyo ana mahusiano mengine kwako alikuja kujalibu tu cha ajabu ukakubali so anashindwa kukwambia live, shukuru hamja kwichi maana ingekuwa maumivu mara 2.
😄😄😄😄Unachokisubiri utakipata.
Duh basi huyo alikuwa hakupendi kama hadi ukweli anaukataa, the same kwa mtoa mada Hiyo red light ishawaka apite hivi, hapendwi kashachokwa ila mhusika anaogopa kumwambiaUkimwambia ukweli anakasirika anadai wewe ni mlalamishi sana bana kwani muda wote nipo na simu...
Mimi niliachwa kisa ni hicho.
Hata ya mzazi, mpenzi pia hupendi hili litakuwa tatizo.serious aisee kuna muda hupend kuona txt ya mtu yyt...lol..
Huyo ana mahusiano mengine kwako alikuja kujalibu tu cha ajabu ukakubali so anashindwa kukwambia live, shukuru hamja kwichi maana ingekuwa maumivu mara 2.
Hata ya mzazi, mpenzi pia hupendi hili litakuwa tatizo.
Ndugu umezaliwa nae huyo, unakasolo gani mpenzi hebu muache aende zake unajichelewesha kupata mpenzi wa kweli.Amenishangaza..yani mnapoanza mahusiano nimezoea mnakua na hamu ya juu kumjua mwenzio..lakini yeye yuko relaxed..yani kama vile kashamamliza kila kitu
Hata mda wa kuonana hana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kna muda unahitaji utulivu sana....yaan isiwe too much kwakwel
Kabla hujaamua kupita hivi Aggy jay jifanyie assessment kama wewe siyo chanzo cha hiyo makitu , kama ni chanzo jirekebishe kama siyo chanzo bonga na bebe wako mwelekeze kwa mara ya mwisho kamwe usitoe vitisho , . Baada ya hapo asipojirekebisha fanya yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio too much ila kuna ubaya gani asubuhi nikikujulia hali na usiku nikukutakia usiku mwema hapo vipi napo ni vibaya,dakika ngapi hapo kujibu.Kna muda unahitaji utulivu sana....yaan isiwe too much kwakwel