Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Sawa..siku anionyeshe kazi zake..
Zikinridhisha ndo ntapingana na mawazo yangu.
Maana kwa huu ubize hata kuonana nami hana mda..ona mwenyewe
Ni ubize tu usiwaze, wa kwangu mwanzoni aliona kama simpendi, najiskia, siko na malengo nae haya ni maneno yake. Ikatokea trip nikafanya figisu tukaenda wote pori na tourists Manyara National Park akaona mambo yalivyo. From there hua hana malalamiko tena. Ila ubize huo umezidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaweza kudate na mpenzi alie bize wiki nzima?

Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku..hata umtext hajibu,utapiga missed calls hata kumi simu haipokelewi..hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!
Unajiuliza hali?hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?

Hata mda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana..ni jumatatu mpaka jumapili..asubuhi hadi usiku..usiku hadi asubuhi.

Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani...we ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?

Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.

Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba..ila akaweka simu pembeni bado Yale Yale yanaendelea.

Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi..utaweza kujenga familia?

Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
Pole sana halafu unakuta ndio umekufa na kuoza kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwambia ukweli anakasirika anadai wewe ni mlalamishi sana bana kwani muda wote nipo na simu...

Mimi niliachwa kisa ni hicho.
Duh basi huyo alikuwa hakupendi kama hadi ukweli anaukataa, the same kwa mtoa mada Hiyo red light ishawaka apite hivi, hapendwi kashachokwa ila mhusika anaogopa kumwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amenishangaza..yani mnapoanza mahusiano nimezoea mnakua na hamu ya juu kumjua mwenzio..lakini yeye yuko relaxed..yani kama vile kashamamliza kila kitu
Hata mda wa kuonana hana
Huyo ana mahusiano mengine kwako alikuja kujalibu tu cha ajabu ukakubali so anashindwa kukwambia live, shukuru hamja kwichi maana ingekuwa maumivu mara 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hujaamua kupita hivi Aggy jay jifanyie assessment kama wewe siyo chanzo cha hiyo makitu , kama ni chanzo jirekebishe kama siyo chanzo bonga na bebe wako mwelekeze kwa mara ya mwisho kamwe usitoe vitisho , . Baada ya hapo asipojirekebisha fanya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amenishangaza..yani mnapoanza mahusiano nimezoea mnakua na hamu ya juu kumjua mwenzio..lakini yeye yuko relaxed..yani kama vile kashamamliza kila kitu
Hata mda wa kuonana hana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu umezaliwa nae huyo, unakasolo gani mpenzi hebu muache aende zake unajichelewesha kupata mpenzi wa kweli.
 
Ahsante sana aggyjay uzi wako umenisaidia sana kiukweli nimepata majibu nilikuwa nataka, nipo in the same situation,
Mie pia hatujawahi hata onana ila hivi recently mabadiliko ni ubize uliokubuhu.!! Niliwahi ondoka lakini akagoma anasema ni majukumu nisiondoke.! Na akanilaumu sana why nakuwa sina uvumilivu while mwenzie hapo nimevumilia to the last drop.. Nilivyo mpuuzi nikarudi tena ila sahivi things have become more worse.!
Hapa I texted him since satano nimemuambia tu awe mkweli mbona nitaenda bila tatizo maana nishajiandaa kisaikolojia kuwa that love has already faded away.!!
Hajajibu mpaka sasa.!! Haha' nacheka kama mazuri.!!
Woooiii' tujiondokee zetu hebu.!! We're better than that.!!
 
Back
Top Bottom