Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
- #141
Mhh..haya ngoja nijaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa kuwa na mwenza aliye bize muda wote, waingereza wanasema 'Busy Bee'. ushauri wangu ni kuwa kuwa namna nzuri ya ku' deal' naye ni kumuomba mtoke naye safari nje kabisa mbali na eneo analofanyia kazi/shughuli (aina ya likizo au 'Honeney moon'). Safari hiyo yaweza kuwa mbugani au mikoa ya mbali na mnapoishi/fanyia kazi zenu. Nakutakia utekelezaji mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app