Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mhh..haya ngoja nijaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amenishangaza..yani mnapoanza mahusiano nimezoea mnakua na hamu ya juu kumjua mwenzio..lakini yeye yuko relaxed..yani kama vile kashamamliza kila kitu
Hata mda wa kuonana hana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakua unampiga mizinga ndo maana anakupotezea. Tena itakua kashasepa huyo jiongeze. Kwa ushauri kama una malengo na mtu jaribu kumuonyesha wewe sio tegemezi mwanzoni mwa mahusiano yenu. Punguza vizinga dada upate bwana tofauti na hapo utajikuta umri umeenda na huna direction yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una subiri mpaka uambiwe sikutaki " Jiongeze basi mkuu "--- Hakunaga mapenzi ya kweli ya Style hiyo hasa kwa watu wanaojitambua .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi omba hata miabtano yake..hata vocha hajawahi nitumia.
Sijawahi muomba hela
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…