Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #161
Msaidie hicho kinachomfanya awe busy, kama ni kazi au hobbie zake then utakuwa unamsaidia katika huo ubize
Cidhan km ni suluhisho coz ukisema aanze kukaa kimya n km yatakua mashindano ..kuwa nan atamuanza mwenzakehakupendi wala hajali hisia zako kaa kmy na wew uone km atakutafta usiwe mtumwa wa mapenzi
Cidhan km ni suluhisho coz ukisema aanze kukaa kimya n km yatakua mashindano ..kuwa nan atamuanza mwenzake
From profile picture to proper future
Naked truth kwingine kote hakufai
AhaaahaaahaaDuuuhh kazi sana, na utu uzima wako mkuu..hujui tu jamaa HAKUPENDI????
Amwambie sikutaki mara ngapi hali yakuwa vitendo vinaonyesha yaani mtu anasoma sms anaipotezea dahUna subiri mpaka uambiwe sikutaki " Jiongeze basi mkuu "--- Hakunaga mapenzi ya kweli ya Style hiyo hasa kwa watu wanaojitambua .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi omba hata miabtano yake..hata vocha hajawahi nitumia.
Sijawahi muomba hela
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani hamuwezi kuondoka mpaka muambiwe? Kwa taarifa yenu mtasubiri saana.. Ila tutaendelea kuwa skip ili baadae tuwatumie kama backup.. Saivi sina huruma na nyie viumbeAhsante sana aggyjay uzi wako umenisaidia sana kiukweli nimepata majibu nilikuwa nataka, nipo in the same situation,
Mie pia hatujawahi hata onana ila hivi recently mabadiliko ni ubize uliokubuhu.!! Niliwahi ondoka lakini akagoma anasema ni majukumu nisiondoke.! Na akanilaumu sana why nakuwa sina uvumilivu while mwenzie hapo nimevumilia to the last drop.. Nilivyo mpuuzi nikarudi tena ila sahivi things have become more worse.!
Hapa I texted him since satano nimemuambia tu awe mkweli mbona nitaenda bila tatizo maana nishajiandaa kisaikolojia kuwa that love has already faded away.!!
Hajajibu mpaka sasa.!! Haha' nacheka kama mazuri.!!
Woooiii' tujiondokee zetu hebu.!! We're better than that.!!
Unajidanganya sema wote kwa pamoja mnatumiana, Ukimwi upo na unauwa.kwani hamuwezi kuondoka mpaka muambiwe? Kwa taarifa yenu mtasubiri saana.. Ila tutaendelea kuwa skip ili baadae tuwatumie kama backup.. Saivi sina huruma na nyie viumbe
Tulia hivohvo single maza,,Unajidanganya sema wote kwa pamoja mnatumiana, Ukimwi upo na unauwa.
Baadhi ya wanaume wa humu mko na virusi kichwani si bure kila mwanamke mnadhani single Maza, halafu nani kakudanganya mwanamke akiwa na mtoto ni tusi.Tulia hivohvo single maza,,
Haha' Pole..!!kwani hamuwezi kuondoka mpaka muambiwe? Kwa taarifa yenu mtasubiri saana.. Ila tutaendelea kuwa skip ili baadae tuwatumie kama backup.. Saivi sina huruma na nyie viumbe
Inabidi nikutafte tuyajenge, hapa wengine tumegandana na wake za watu kumbe Kuna watu wanahitaji faraja