Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?

Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!

Unajiuliza hali? Hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?

Hata muda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana, ni Jumatatu mpaka Jumapili, asubuhi hadi usiku, usiku hadi asubuhi.

Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani, wewe ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?

Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.

Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba ila akaweka simu pembeni bado yale yale yanaendelea.

Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi utaweza kujenga familia?

Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
 
1:Tambua kwa nini yupo busy/ nini kinachomfanya awe hivyo,.
2:Kuwa mkweli kwake kuwa unateseka kihisia anapokiwa anafanya hivyo ili ajue ni kwa namna gani anatenga mda wakuwasiliana na wewe hata kama yupo busy na kazi.

3:Hakupendi tena ila hajui ni kwa namna gani akuambie,.

4:Wewe ni msumbufu/unapenda kuwa karibu yake san so unamkera ?

5:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo mawili, kwanza, hakupendi kama unavyompenda au ambavyo unatamani akupende. Pili, unamsumbua mara kwa mara. Unajua wakati mwingine wanaume hatupendi usumbufu mwingi hasa tunapokua kwenye mambo mengine yanayohitaji umakini au utulivu, japo haiwi bize kiasi cha hata kutoa salam au kumjulia hali mtu unayempenda.

Nahitimisha jambo moja tu, HAKUPENDI.
 
Swala sio kuchat mda wote..swala ni kutenga mda kwa ajili yangu.kuwa bize jtatu mpaka ijumaa sawa.basi tenga japo jmos na jpili kwajili yangu..hatabkama wikiendi utakua bize basi huwazi japo niweke SAA moja au mbili kumjulia hali mwenzangu?
tena mi huwa nachati hata nikiwa kazini aggjay😉😉

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nishakuta sms kwenye simu ya baby wang manzi analalamika km ww unavyolalamika kwamba hatafutwii na bra bra kibaooo ila kwa upande wng mshikaji ananitafuta balaa 24/7 nilichokugudua km anakupenda LAZIMA atatenga muda kwa ajili yako..my dia hapo utakiwi toka mdog mdgo yan tena kmy kmy
 
Swala sio kuchat mda wote..swala ni kutenga mda kwa ajili yangu.kuwa bize jtatu mpaka ijumaa sawa.basi tenga japo jmos na jpili kwajili yangu..hatabkama wikiendi utakua bize basi huwazi japo niweke SAA moja au mbili kumjulia hali mwenzangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
hakupendi wala hajali hisia zako kaa kmy na wew uone km atakutafta usiwe mtumwa wa mapenzi
 
Jamani..mda wote ukiangalia last seen inaonyesha SAA hiyo hiyo lakini anadai hashiki simu..
nishakuta sms kwenye simu ya baby wang manzi analalamika km ww unavyolalamika kwamba hatafutwii na bra bra kibaooo ila kwa upande wng mshikaji ananitafuta balaa 24/7 nilichokugudua km anakupenda LAZIMA atatenga muda kwa ajili yako..my dia hapo utakiwi toka mdog mdgo yan tena kmy kmy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nishakuta sms kwenye simu ya baby wang manzi analalamika km ww unavyolalamika kwamba hatafutwii na bra bra kibaooo ila kwa upande wng mshikaji ananitafuta balaa 24/7 nilichokugudua km anakupenda LAZIMA atatenga muda kwa ajili yako..my dia hapo utakiwi toka mdog mdgo yan tena kmy kmy
Ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom