Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Aisee pole sana...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Usinipe pole bhana... u hv to congratulate me,,,nipe hongera
Huwa najishangaa yaani I realized that I was so stupid,,,
Hadi muda huu nimejifunza mengi Sana

Naishi maisha yangu halisi,,,nimegundua Kuna watu Bora zaidi ambao ningekaa kule nisingegundua... I'm moving forward, I'll never turn back...God has a very wonderfully plan for me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As per my deeper assessment of oral testimonies
You hereby declare Extrovert as a person of interest in this case( joking)
hahaaa....nimependa verdict yako ingawa inaweza isiwe kweli.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Usinipe pole bhana... u hv to congratulate me,,,nipe hongera
Huwa najishangaa yaani I realized that I was so stupid,,,
Hadi muda huu nimejifunza mengi Sana

Naishi maisha yangu halisi,,,nimegundua Kuna watu Bora zaidi ambao ningekaa kule nisingegundua... I'm moving forward, I'll never turn back...God has a very wonderfully plan for me

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ilikuwa ya kukupotezea muda na investment uliyoweka kwake kos hakuwa mtu sahihi kama ulivyosema.

Hongera kwa ku move on kama ulivyosema pia.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ushauri wako mzuri.asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombea upate mtu wa kujali wa kufanana naye. Unaweza ukawa bize na kazi, hobby, biashara, friends nk lakini ukawa na hole deep inside you. Pata someone anayejali kama wewe vingine vyote utavifurahia na vitajiset naturally vingonevyo ni sawa na mvuta bhangi akose bhang avute sigara inakuwa ni temporary tu

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Shukrani
Nakuombea upate mtu wa kujali wa kufanana naye. Unaweza ukawa bize na kazi, hobby, biashara, friends nk lakini ukawa na hole deep inside you. Pata someone anayejali kama wewe vingine vyote utavifurahia na vitajiset naturally vingonevyo ni sawa na mvuta bhangi akose bhang avute sigara inakuwa ni temporary tu

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You hereby declare Extrovert as a person of interest in this case( joking)
hahaaa....nimependa verdict yako ingawa inaweza isiwe kweli.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Inasmuch, as Extrovert tries to boil an ocean palatably, that the afore mentioned lady is fallaciously arguing herein with
 
Back
Top Bottom