Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?

Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!

Unajiuliza hali? Hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?

Hata muda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana, ni Jumatatu mpaka Jumapili, asubuhi hadi usiku, usiku hadi asubuhi.

Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani, wewe ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?

Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.

Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba ila akaweka simu pembeni bado yale yale yanaendelea.

Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi utaweza kujenga familia?

Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
Sijakuelewa vizuri ulipoandika "quality time" lakini si mbaya, all in all naomba nikupe POLE, jibu ni fupi tu kuwa HAKUPENDI, AMEKUCHOKA.
 
Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?

Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!

Unajiuliza hali? Hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?

Hata muda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana, ni Jumatatu mpaka Jumapili, asubuhi hadi usiku, usiku hadi asubuhi.

Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani, wewe ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?

Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.

Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba ila akaweka simu pembeni bado yale yale yanaendelea.

Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi utaweza kujenga familia?

Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
Yuko busy for you, lakini kwa yule anae mpenda hayuko busy. Na sia ajabu anapoga simu usiku mchana jioni
 
Back
Top Bottom