Mpenzi aliyenikataa baada ya kumwambia mimi ni mwathirika wa UKIMWI

Mpenzi aliyenikataa baada ya kumwambia mimi ni mwathirika wa UKIMWI

Hamkuwahi kufanya mapenzi? Ila sio rahisi mtu kukubaliana na hali yako, ni wachache sana, jitahidi utafute mtu wa hali yako na maisha yatasonga mbele. Hebu fanya ujasiri utembelee radio one, watakushauri zaidi.
 
mwasilika wa virusi vya UKIMWI."

Nilichukua pumzi ndefu, nikijitahidi kutuliza moyo wangu uliokuwa unadunda kwa kasi. Kisha nikasema, "Mimi ni mwasilika wa virusi vya UKIMWI. Nim.
Mwasilika = ❌
Muathirika = ✔️
Hadithi yangu na Asha ilikuwa ya huzuni, lakini pia ilikuwa fundisho kubwa kwangu .
Ni Kweli, hadithi yako ni Nzuri.
 
Eti "mwasilika"
Leo ni anniversary nini mbona umecharuka na stori za HIV?
 
Broo sipo hapa kukufanya ujisikie vibaya hapa nipo hapa kusimama na asha. Kwanza kaka ungetakiwa ueleze namna ulivoweza kuupata kwa kuzaliwa au kwa sex then tuje na kukuuliza maswali

Kingine namna ambavyo tuliupokea ukimwi miaka ya 90-2000 (ukiitwa slimu au umeme) ulikuwa wa kutisha sana kuliko sasa... mtu unamuona kapigwa stroke mpk mdomo umepinda mwili umekondeana na kubaki mifupa kisha anafariki kwa maumivu makubwa na fedheha kubwa mno..

Ukitembelea hospital dhidi ya wagongwa wa HIV ukiwaona unakosa nguvu na unaogofya mno watu wanateseka unatisha mno...

Swali langu je ungekuwa Asha vaa uhusika wake ungekubali jibu ungebaki oooh eeeh au sijui au hapana kabisa ni ngumu mno mtu ambae hana maambukizi kuishi na mwenye maambukizi kwanza hofu na uoga akiamini utamuambukiza kwa kumukomoa au laa

Ushauri pole na mshukur mungu tafta mwenye hali kama yako mjenge familia iliyo bora ila usilalamike kuhusu Asha ni kumpa mtihani na mateso makubwa mno
 
Back
Top Bottom