Mpenzi anahitajika kwa usaidizi

Mpenzi anahitajika kwa usaidizi

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
2,963
Reaction score
4,027
Habari,
Kama kichwa cha bandiko kinavyojieleza hapo juu,mm ni mwanaume mwenye familia ya mke na watoto wawili,umri wangu 40yrs.

Msaidizi anayehitajika ni mwanamke umri kati 25-35 hata akiwa na mtoto mmoja siyo mbaya,mkristo atapewa kipaumbele.

Sababu za kutafuta msaidizi kwa mke wangu tutazungumza huko chemba,tukikubariana nitakuhudumia kama mke wangu,,
Karibuni Pm kwa mazungumzo kwa wenye uhitaji,,
 
Si mchepuko huo jamani?, nilidhani unatafuta house girl, kumbe ni zaidi ya house girl[emoji30] ,kweli boss kaamkia chumba cha house girl[emoji3] ,nakujaa mkuu
 
Ongeza nyama mkuu

Utakua namlipa sh ngap?
Je kwa week unapiga mara ngap?
Wataishi nyumba moja na mke wa kwanza?
N.k
 
Mwenye pesa haongeagi maneno mengi!! Wallah wadada atakae mpata huyu jamaa hatojutia,
 
Back
Top Bottom