Mpenzi Mahabat wa Kasie....

Mpenzi Mahabat wa Kasie....

Kasie again in the weekend... !!

Kwa wasio muelewa The one and Only "Kasie" ni kuwa ana communicate na mtu mmoja tu ktk post nzima. Na uzuri huyo mtu huwa anajijua.

(Hii ni mtazamo wangu ktk post zake)

Kuna mtu kaniambia nikukumbushe semi za wahenga......

"Asiyejua maana, haambiwi maana"

"Alalaye usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe"

Tangu jana usiku kanisumbua nikwambie hivo, natumai sasa karidhika kuona ujumbe umekufikia.


Ila mie nashukuru kwa maelezo yako. Siku njema kwako.

Kasie Nyonda-ake mtufudenge 😛
 
mapenzi motomoto...

Hahahahahhahaahaaa halafu weweee.....

Inabidi ufanyiwe welcome back party looh. Sijui ile chocolate bado ipoo. ....
 
Hapo ndipo msiba utakaponihusu sasa... usifanye hivyo Kassie wangu..

proxy

Hahahahhahaaa babuuuu ujue watakununia wakisoma hapa kuwa kwa Kasie umauti utakuhusu usiponanihilii wakati wao usipocheza nao unawaambia unaenda kwa bi mkubwa na lager inashuka. .... hehehehehee

Kwa neno lako hilo ina maana Kasie dau kubwa.... hehehehehee acha niendelee kutabasamu mie, big Sam mwenyeweee.... aka Asiporoo

Salute kwako.
 
Hahahahaaa.....nyonda beibeeee

Mpe hi Lawrence 😉

Rabeka Pumpkin Sushi.... aka always imitated but never what what..... hahahahahhaahaaa I miss that.....

Oooh you you. ... Lawrence is giving you back a high 5 hehehheehee (a lot of curious questions attached) you heard his voice......

Kasie Nyonda-ake mahalat beibee mmuah!!
 
we mtu, walahi basi fanya kila jumapili uwe na mambo kama hii aise!
 
mapenzi motomoto...

albelari maana yake nini?

Albelari ni jina la mahali niliendaga zamaniii.....
Kama ulishawahi msikia James Jeddah. ... basi anahusika na huko pia.
 
Hahahahaaa looh huwa haipangwi hutokea na kuelezewa. .... ni hadi itokee.
tatzo, mpka waje hao uwapendao hata sisi tukupendao tupe nafasi, ili tuzisogegze isia mpka utupende ili mambo haya yasiwe ya msimu Babie kassie!
 
Smart911 njoo huk unahtajika na Ex wako [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent from my Android phone
 
Back
Top Bottom