Mpenzi/mke/mume umemsave/amekusave jina gani?

Mpenzi/mke/mume umemsave/amekusave jina gani?

Ngoja nimlie timing a screenshot WhatsApp yake anitumie nijichekee hapa
 
Nime save (A 1 Mrs) kuhakikisha namba yake inakuwa ya kwanza kwenye phonebook kwa kila simu ninayotumia
Kumbe kuna kufanana mawazo,,sikwenda tuu kwa undani ila mimi ipo hivi; ya kwanza kabisa ni AMr.(jina langu) ya pili ni AMrs.(jina langu) halafu hakuna saving nyingine yoyote inayoanza na "A"
 
Back
Top Bottom