Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Margo5

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2020
Posts
219
Reaction score
210
Habari ya wakati huu!

Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.

Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu ft 5.8 na kuendelea(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu ft 5.8)

Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.

Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..

Usiku mwema wote🙏
 
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu.
Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi,Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu)

Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs, sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.

Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..

Usiku mwema wote🙏
DM ni wap eti?
 
Huyu ulimpeleka wapi mpendwa.
Mbona mnapenda kutuchora?
 
Back
Top Bottom