Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Siku akijitokeza binti wa mji niliopo nitajaribu kufanya utafiti kama hii huwa ni serious business ama vipi.
 
Mimi kuna mtu namjua ambaye aliambiwa kulikuwaga na mtu ambaye aliskia kwamba katika pitapita zake aliwahi kusikia kuna mtu alitamka kwamba kwao kasikia kuna mtu anatafuta mke
 
Mimi kuna mtu namjua ambaye aliambiwa kulikuwaga na mtu ambaye aliskia kwamba katika pitapita zake aliwahi kusikia kuna mtu alitamka kwamba kwao kasikia kuna mtu anatafuta mke
Umezunguka sana , kama ana hizo sifa sawa hata akiwa huko kijijini tutaishi tu
 
Back
Top Bottom