Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Habari ya wakati huu!

Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.

Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu)

Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.

Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..

Usiku mwema wote🙏
Mungu mwenyezi muumbaji wa mbingu na nchi akujalie hitaji la Moto wako.

Kila la heri
 
Habari ya wakati huu!

Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.

Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu)

Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.

Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..

Usiku mwema wote🙏
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐧𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐩𝐢𝐚
 
Usiku mwema wote[emoji120]
Boresha hapo kwenye urefu. Jipime kabisa urefu wako halafu andika futi zako hapo itawarahisishia wenye nia kujilinganisha!
 
Back
Top Bottom