- Thread starter
- #101
KaribuAsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuAsante
[emoji419][emoji419][emoji419]Umetumia maneno makali kidogo.
Vijana wa enzi zetu wangeuliza
"Do you have bright future behind you?" [emoji1787]
Mungu mwenyezi muumbaji wa mbingu na nchi akujalie hitaji la Moto wako.Habari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu)
Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.
Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..
Usiku mwema wote🙏
Amina ahsanteMungu mwenyezi muumbaji wa mbingu na nchi akujalie hitaji la Moto wako.
Kila la heri
AhsanteKila la kheri
Usiwe mwepesi wa kujudge, huwezi jua mtu anapitia nini, ila ahsanteUjana ulikula na nani kwanza?
😂😂😂Kwaiyo sisi wafupi wenye hela zetu hamtutaki Unataka warefu wenzio ili mzae mangongoti? Eet
Hataki kuzaa viandunje..!!
Chini ya 32yrs, utakuwa ni mdogo kwanguSisi wenye chini ya 32 hatutakiwi?
Mwakani nafika 32, nitakua na vigezo hapo?Chini ya 32yrs, utakuwa ni mdogo kwangu
😹😹😹😹Shida inaanzia hapo kwamba unaishi Dar.
Na mimi ntakua nimeongeza mwaka still utakua ni mdogoMwakani nafika 32, nitakua na vigezo hapo?
Kwaio nimetolewanya kwenye kinyanganyiro!Na mimi ntakua nimeongeza mwaka still utakua ni mdogo
Ni sawaKwaio nimetolewanya kwenye kinyanganyiro!
It's okey waiting for best loser, unajua mapenzi ni Kama soka
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐧𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐩𝐢𝐚Habari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu)
Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.
Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..
Usiku mwema wote🙏
Karibu𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐧𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐩𝐢𝐚
Boresha hapo kwenye urefu. Jipime kabisa urefu wako halafu andika futi zako hapo itawarahisishia wenye nia kujilinganisha!Habari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu)
Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.
Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..
Usiku mwema wote[emoji120]