Mpenzi niliyenaye Kila siku ana matatizo, Kila siku anapata hasara

Mpenzi niliyenaye Kila siku ana matatizo, Kila siku anapata hasara

Namfahamu Kwa muda ingawa alinieleza Kuna kitu kilimpata alipoenda kijijini kwao aliamka siku moja akakuta amechanjwa chale basi mi nikachukulia rahisi maana hakuna gumu kwa yesu lkn namuona sasa matatizo yake hayaskii dawa wala maombi namuona sasa kama yeye ndo mzimu mwenyew typically....vp kilikupata kipi?
Kuna watu wakiondoka kwao huwa hawatakiwi kurudi kwa namna yoyote labda kwa matukio muhimu tena anakaa masaa anaondoka.
Uchawi upo
 
Mwanaume anakudekea Yan alafu ndugu zake hawaambii matatizo yake Yuko so protective kuwaumiza ndugu zake ila ww ndo shimo la taka Kila tatizo ulibebe ww
Mimi ninaye boyfriend kama huyu,Leo ataniambia nina. Mawazo sana,kesho usiku sijalala Nina mawazo
Leo nimeota ndoto mbaya,
Niombee tutafika tu, Leo sijisikii vizuri kabisa.
Nina stress sana
Sina hela,yaan mambo anayokueleza ni huzuni huzuni

YAANI haiwezi pita siku 2 hajakueleza vitu kama hivi

Sasa me naona anataka kuniambukiza stress, mwanaume unawezaje kuwa hivyo ? Me nahitaji mwanaume ambaye ni MWANAUME

Nimeamua kumkwepa na simuhitaji tena
 
😅
 
Namfahamu Kwa muda ingawa alinieleza Kuna kitu kilimpata alipoenda kijijini kwao aliamka siku moja akakuta amechanjwa chale basi mi nikachukulia rahisi maana hakuna gumu kwa yesu lkn namuona sasa matatizo yake hayaskii dawa wala maombi namuona sasa kama yeye ndo mzimu mwenyew typically....vp kilikupata kipi?
wooooiiii,,yani ni yale yale,, anaweza kua muongo au mkwel mimi wangu alikua muongo aseee,,mfatilie vizuri uyo yani mfatilie ndugu kabla hayajawa makubwa kama mimi.
 
NIpe experience kidogo...Yan najikuta Kila siku nna stress
wooooiiii,,yani ni yale yale,, anaweza kua muongo au mkwel mimi wangu alikua muongo aseee,,mfatilie vizuri uyo yani mfatilie ndugu kabla hayajawa makubwa kama mimi.
 
Chanzo alichajwa chale ndo matatizo yalipoanzia alianza na kupata ndoto mbaya then mikosi lkn alizembea hiyo ilikuwa 2019/2020 lkn amekuja kufunguka mwaka huu j

Ni ke mwenye huruma na ninatamani matatizo yake yaishe before sijajitenga nae Ili nisije kumuacha akasema nimekimbia matatizo
Kwaiyo una mpango wa kutengana nae hata kama asingekua na matatizo?
 
Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake nimejaribu kumpeleka kwa watumishi wa Mungu apate huduma lkn wapi!

Nimeomba na kufunga lakini wapi
si umpe hasara ili ujue kama utapata hasara
 
Back
Top Bottom