Mpenzi niliyenaye Kila siku ana matatizo, Kila siku anapata hasara

Mpenzi niliyenaye Kila siku ana matatizo, Kila siku anapata hasara

Hana mikosi wala.
Hana upendo kwako, mwanamme akimpenda kwa dhati mwanamke humkinga, hataku-flood kwa mfululizo wa matatizo.
Amekufanya wewe msukule wake.

But know you are at a better place cause now you know.


Kimbia.
 
Nikimfikiria namuona ni msalaba mzito
Hata yeye anakuona gunia la kokoto,unamuumiza kwa vizinga vyako daily.

Sasa ulichokua unajishaua nini eti uliona umvumilie kwakua hakuna gumu kwa yesu. Sasa huyo yesu wako ndio kusema amesanda au??
 
Back
Top Bottom