Mpenzi niliyenaye Kila siku ana matatizo, Kila siku anapata hasara

Kuna watu wakiondoka kwao huwa hawatakiwi kurudi kwa namna yoyote labda kwa matukio muhimu tena anakaa masaa anaondoka.
Uchawi upo
 
Mwanaume anakudekea Yan alafu ndugu zake hawaambii matatizo yake Yuko so protective kuwaumiza ndugu zake ila ww ndo shimo la taka Kila tatizo ulibebe ww
 
😅
 
wooooiiii,,yani ni yale yale,, anaweza kua muongo au mkwel mimi wangu alikua muongo aseee,,mfatilie vizuri uyo yani mfatilie ndugu kabla hayajawa makubwa kama mimi.
 
NIpe experience kidogo...Yan najikuta Kila siku nna stress
wooooiiii,,yani ni yale yale,, anaweza kua muongo au mkwel mimi wangu alikua muongo aseee,,mfatilie vizuri uyo yani mfatilie ndugu kabla hayajawa makubwa kama mimi.
 
Kwaiyo una mpango wa kutengana nae hata kama asingekua na matatizo?
 
si umpe hasara ili ujue kama utapata hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…