Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Walikuwa wanamtafuta atoto kwa muda mrefu nikaamua kuwafumbua macho kwa wasiojua kwamba a to to ndiye espy.
 
Sio mara moja kuleta picha hizo.

Kwa mara ya kwanza alituma picha mwanamke na mwanaume wakifanya mapenzi kwa staili tofauti tofauti ikiwemo kulana tigo nikachukulia poa tu nilivyoona ametuma na ile aisee nilimshusha thamani sana.
Atakua changu basi..
 
Walikuwa wanamtafuta atoto kwa muda mrefu nikaamua kuwafumbua macho kwa wasiojua kwamba a to to ndiye espy.
Nakumbuka ulinijibu Mimi.
Ila mods walifuta, wewe unadhani kwa nini walifuta ushahidi wako?
Kwa sababu huwezi kumwelezea mtu na yeye yupo.
Haikuwa kazi yako.
Ila kumbe ni Tabia yako endelevu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...



Usiku mwema.
Kwanini ulishare ngono... Twice tena!?
 
Ile picha kwa kweli haikuwa na staha, alionyesha kuwa 'limtokalo mtu ndilo linaloujaza moyo wake'.

Alistahili ban tena angepewa ban ya mwaka kabisa.
Ndio tabia yake huyu.

Alistahili life ban kabisa.
 
I wonder mwanaume unakuwaje na tabia za ajabu kama hizi.
Nani anamlipa kufuatilia watu?
Anajua mwenyewe, alafu unakuta watu wanalalamika hali ngumu!!!!
Tanzania ya viwonder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…