Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ok.Huyo dogo hiyo ndio huwa kazi yake kuu, maybe analipwa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok.Huyo dogo hiyo ndio huwa kazi yake kuu, maybe analipwa!!!
Walikuwa wanamtafuta atoto kwa muda mrefu nikaamua kuwafumbua macho kwa wasiojua kwamba a to to ndiye espy.Yaani mwanaume unajisifu upambe?
Nilikuona siku una toa evidence kuhusu espy ukiwa kila mmoja alikuwa anajua kwamba alibadili jina ila I'd ile ile hapo ndipo nilipokushusha thamani.
Hivi unawezaje kukaa kuangalia nani yupo online muda gani na muda gani hayupo?
Ha hahaha.Huyo dogo hiyo ndio huwa kazi yake kuu, maybe analipwa!!!
Watu wasiojulikana wamemuiba baby wako-sumbai![emoji13][emoji13][emoji13]Ha hahaha.
Nimechekaaaaa.
Eti mtu anaishi jf kufuatilia ID mbili.
I miss you dada
Hahaha bora aibiwe na alshabab kuliko watu wasiojulikanaWatu wasiojulikana wamemuiba baby wako-sumbai![emoji13][emoji13][emoji13]
Hahaha haha kazi kweli kweli.Unahangaika vibaya.
Mchaichai nani analeta kokoroUnahangaika vibaya.
Atakua changu basi..Sio mara moja kuleta picha hizo.
Kwa mara ya kwanza alituma picha mwanamke na mwanaume wakifanya mapenzi kwa staili tofauti tofauti ikiwemo kulana tigo nikachukulia poa tu nilivyoona ametuma na ile aisee nilimshusha thamani sana.
Nakumbuka ulinijibu Mimi.Walikuwa wanamtafuta atoto kwa muda mrefu nikaamua kuwafumbua macho kwa wasiojua kwamba a to to ndiye espy.
Kwanini ulishare ngono... Twice tena!?Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...
Usiku mwema.
Ndio tabia yake huyu.Ile picha kwa kweli haikuwa na staha, alionyesha kuwa 'limtokalo mtu ndilo linaloujaza moyo wake'.
Alistahili ban tena angepewa ban ya mwaka kabisa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nakumbuka ulinijibu Mimi.
Ila mods walifuta, wewe unadhani kwa nini walifuta ushahidi wako?
Kwa sababu huwezi kumwelezea mtu na yeye yupo.
Haikuwa kazi yako.
Ila kumbe ni Tabia yako endelevu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kwa makini hapo alichokiandika.Kwanini ulishare ngono... Twice tena!?
Kuna mtu hapa anapanic vibaya[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mchaichai nani analeta kokoro
"Kilichofanywa na ID hii"Kwanini ulishare ngono... Twice tena!?
Anajua mwenyewe, alafu unakuta watu wanalalamika hali ngumu!!!!I wonder mwanaume unakuwaje na tabia za ajabu kama hizi.
Nani anamlipa kufuatilia watu?
Nimeshamsoma..."Kilichofanywa na ID hii"