Sikanushi wala sikubali kwa sababu yeye ni mtu wa kawaida sana na hana madhara kwangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].Hahaha haha kazi kweli kweli.
Napenda unavyomjibu. Ha hahaha
Haukabushi wala haukubali.
Angalia utamuua mwenzako.
Mpelelezi wa kujitegemea
Tena akafungua na uzi!! Hiyo ndio siku ya kwanza namuona jf, nikawaza huyu mtoto inamaana kajiunga jf kwaajili ya kutoa taarifa isiyomuhusu?!!! Nikaambiwa ni member wa muda tu. Nikajipitia tu.Yaani mwanaume unajisifu upambe?
Nilikuona siku una toa evidence kuhusu espy ukiwa kila mmoja alikuwa anajua kwamba alibadili jina ila I'd ile ile hapo ndipo nilipokushusha thamani.
Hivi unawezaje kukaa kuangalia nani yupo online muda gani na muda gani hayupo?
I miss you too mdogo wangu.Ha hahaha.
Nimechekaaaaa.
Eti mtu anaishi jf kufuatilia ID mbili.
I miss you dada
Achana na pimbi iyoKuna mtu hapa anapanic vibaya[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwahiyo wewe ni nani hata ujivike hilo jukumu? Msemaji wangu au msemaji wa moderators?Walikuwa wanamtafuta atoto kwa muda mrefu nikaamua kuwafumbua macho kwa wasiojua kwamba a to to ndiye espy.
madhara yapi?Sikanushi wala sikubali kwa sababu yeye ni mtu wa kawaida sana na hana madhara kwangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwahiyo wewe ni nani hata ujuvike hilo jukumu? Msemaji wangu au msemaji wa moderators?
Usamehewe na nani bhaana...(binadamu?)Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...
Usiku mwema.
Apewe uongozi haha hahaha.I miss you too mdogo wangu.
Huoni hata hapo alivyokomaa, unabaki unajiuliza maswali yaso na majibu!! Wonders!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Usamehewe na nani bhaana...(binadamu?)
Mungu akikusamehe imetosha.
Sema sorry kwa niliowakwaza baaasi imetosha.
Hiyo picha siyo mbaya ila inajukwaa lake.
Karibu dear
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu lako limejibu mashaka yangu kuwa ww na manzi tena unabonge la msambwanda laki pueto ricomadhara yapi?
Hunijui sikujui.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naona kiki niliyokupa inakutosha kwa leo.
Hance Mtanashati sio mtu wa mchezo mchezo
Kwi kwi kwi.Kwahiyo wewe ni nani hata ujivike hilo jukumu? Msemaji wangu au msemaji wa moderators?
hivi hilo jukwaa la wakubwa ndo liko wapi aisee maana nalisika tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hata jukwaa la wakubwa hawaruhusu picha ile.
Angalau ingekuwa Ke kwa Me kidogo sio Me kwa Me.
Kumbe ni mwanaume!!!!!!!!!!
Usipangie watu cha kupost.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hata jukwaa la wakubwa hawaruhusu picha ile.
Angalau ingekuwa Ke kwa Me kidogo sio Me kwa Me.
Mfuate PM invisible akuunge.hivi hilo jukwaa la wakubwa ndo liko wapi aisee maana nalisika tu
Kumbe ulijua ni mwanamke?? HKumbe ni mwanaume!!!!!!!!!!
Basi sawa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji106] ila ni kinyume cha sheria za JF na pia zinatukwaza membersUsipangie watu cha kupost.
Zipo hadi za shemale hadi za malesbian .
Sent using Jamii Forums mobile app