Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Yaani mwanaume unajisifu upambe?
Nilikuona siku una toa evidence kuhusu espy ukiwa kila mmoja alikuwa anajua kwamba alibadili jina ila I'd ile ile hapo ndipo nilipokushusha thamani.
Hivi unawezaje kukaa kuangalia nani yupo online muda gani na muda gani hayupo?
Tena akafungua na uzi!! Hiyo ndio siku ya kwanza namuona jf, nikawaza huyu mtoto inamaana kajiunga jf kwaajili ya kutoa taarifa isiyomuhusu?!!! Nikaambiwa ni member wa muda tu. Nikajipitia tu.
 
Sikanushi wala sikubali kwa sababu yeye ni mtu wa kawaida sana na hana madhara kwangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].
madhara yapi?

Hunijui sikujui.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Naona kiki niliyokupa inakutosha kwa leo.


Hance Mtanashati sio mtu wa mchezo mchezo
 
Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...



Usiku mwema.
Usamehewe na nani bhaana...(binadamu?)
Mungu akikusamehe imetosha.
Sema sorry kwa niliowakwaza baaasi imetosha.
Hiyo picha siyo mbaya ila inajukwaa lake.
Karibu dear


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usamehewe na nani bhaana...(binadamu?)
Mungu akikusamehe imetosha.
Sema sorry kwa niliowakwaza baaasi imetosha.
Hiyo picha siyo mbaya ila inajukwaa lake.
Karibu dear


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Hata jukwaa la wakubwa hawaruhusu picha ile.

Angalau ingekuwa Ke kwa Me kidogo sio Me kwa Me.
 
madhara yapi?

Hunijui sikujui.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Naona kiki niliyokupa inakutosha kwa leo.


Hance Mtanashati sio mtu wa mchezo mchezo
Jibu lako limejibu mashaka yangu kuwa ww na manzi tena unabonge la msambwanda laki pueto rico

Kama na ww unachuchuma kwanini unakuwa na beef na shoga zako.

Si uwaringishie tu saresare maua
 
Back
Top Bottom