Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Hatimaye kibarua kisicho na malipo kimefika kikomo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yes sikujui ila nafurahi maana siku yakwanza nimejiunga ulitambua kwamba QUEEN Amejiunga.[emoji16]
Asante kwa kutambua uwepo wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Aghaaaaaaaa[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Jibu lako limejibu mashaka yangu kuwa ww na manzi tena unabonge la msambwanda laki pueto rico

Kama na ww unachuchuma kwanini unakuwa na beef na shoga zako.

Si uwaringishie tu saresare maua
Mkuu umemaliza kila kitu.
Tatizo yeye na paprika watakuwa wananyang'anyana Mume
 
Back
Top Bottom