Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

Vijana bado hawajajua nini hasa Mapenzi. Mapenzi na ukwasi ni vitu 2 tofauti kabisa wajameni
 
Vijana bado hawajajua nini hasa Mapenzi. Mapenzi na ukwasi ni vitu 2 tofauti kabisa wajameni
Ukwasi na mapenzi vinaenda sambamba hasa kwenye kuyadumisha.
Ukiwa huna pesa hata nguvu za kiume zinapungua
 
[emoji1][emoji1]mkuu ukiwa na pesa hata demu anawahi kufika kileleni stress hana
 
Demu ni mkali, swali ni je watadumu?
 
Watu mnachekesha.
umeona hilo Mkuu? kuna mambo hata kuchangia member inakushinda
  1. kuna ulimbukeni wa maisha na mapenzi hapo hapo
  2. kunaudanganyifu wa mapenzi kwani hao watu ni tofauti kati ya huyo Ben Pol Mgogo mwenzangu wa Mpunguzi Dodoma kujifananisha na mtoto wa tajiri wa Kenya
  3. Bitoke ndio mahala pake au kushuka chini tu na kuoa wa level yake
 
Ile ilikuwa ni mpango wa biashara wa timamu tv kumpromote huyo dem kwahiy ben pol alilipwa ila alikamega kisela maisha yakaendelea


Mbona habari chini ya kapeti zinasema ni Ben Pol ndiye aliyekuja kugeuziwa kibao na Ebitoke kwa kuliwa tigo.
 
Kaokota dodo kwenye mwarobaini..na hapo kashukuru na alivyo bahiri ...mbona anachekelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…