Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisoma comment za wanaume wa kibongo zinatia aibu..
Watu mnachekesha.Utofauti wake ni kama Paris na Mbagala
Nipo mama😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upo
Hahaaa Jiwe anataka gawioMbn foreign currency hatuioni Inabdi tuanze kuwadai
Ova
Kyuma make umenichekesha line ya piliUkwasi na mapenzi vinaenda sambamba hasa kwenye kuyadumisha.
Ukiwa huna pesa hata nguvu za kiume zinapungua
Demu ni mkali, swali ni je watadumu?Unamfahamu Anerlisa Muigai? Huyu ni binti wa Kikenya na CEO wa NERO company ni campany ya maji inayoongoza nchini Kenya.
Mama yake Thabita Karanja ni moja ya matajiri wanawake nchini Kenya, ni CEO wa campany ya Keroche breweries.
Thabita Karanja founder and CEO of Keroche Breweries, the largest locally owned brewery in Kenya, this outstanding business woman and award winning entrepreneur has built her fortune through a keen business sense and relentless determination. Her company has a turnover of KSh 1.5 billion (US14.4 million).
Hata hivyo binti huyo mwenye miaka 30 hakutaka kufanya kazi kwenye kampuni ya mama yake na kuamua na kuamua kuanzia kampuni yake ya maji NERO.
Been Pol na Anerlisa waliazisha uhusiano baada binti huyu kumkodi Ben Pol kutumbuiza kwenye event ya kampuni yake. Anerlisa amekiri kuishi na Ben Pol pamoja kwenye Mansion katika Safari zake zote za Nairobi wakati akihojiwa.
Kabla ya binti huyo tajiri Ben Pol alikuwa kwenye mahusiano na msanii wa vichekesho Ebitoke.
View attachment 950245View attachment 950248View attachment 950249View attachment 950252View attachment 950253View attachment 950255View attachment 950257View attachment 950258View attachment 950259
Daah watu na bahati zao..
wabongo bwana....me sijui ndugu mjingamimi...kuwa na mwanamke mwenye hela ni BAHATI?
wabongo bwana....me sijui ndugu mjingamimi...
umeona hilo Mkuu? kuna mambo hata kuchangia member inakushindaWatu mnachekesha.
haina Shida mkuu.. pesa tunatafuta..ningekushauri utafute pesa,sio mwanamke mwenye hela.na hata kama mwanamke ana hela mpende yeye sio pesa zake.
HUO NI UTUMWA.
Ile ilikuwa ni mpango wa biashara wa timamu tv kumpromote huyo dem kwahiy ben pol alilipwa ila alikamega kisela maisha yakaendelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utofauti wake ni kama Paris na Mbagala