Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

HIP HOP HAILIPI(KWA TANZANIA), PESA HUPATI, HATA WATOTO WAZURI HUPATI, UNADHANI MTOTO GANI MREMBO KWENYE 'PARTY' YAKE AMUITE MWANA HIP HOP AJE KUTUMBUIZA,
ANGALIA KIJANA WETU, KAITWA KUTUMBUIZA MWISHOWE KABEBA NA MWENYE SHEREHE... NAANZA KUIMBA SOON
Yaani mtu amualike Chid benz kwa mfano...
 
Sawa mkuu, acha tumtakie kila lakheri
 
Bidada ni mzuri na pesa ipo.... " Ila wanawake wengi wa kitanzania pesa hawana halafu wanaringa kwelikweli ngoja tuendelee kuoa wanawake wa nchi jirani....
 
jigeuze ue mwanaume ushuhudie nilichokwambia.....SAIVI
 
Apige mimba .. aache kuzubaa.. ! Coz huu binti najua hawezi kufunga ndoa na Ben pool, cha kufanya Ben piga mimba then mtoto atakuja kukutoa siku za mbeleni!
 
Mkuu kwa kiwango(muonekano) cha huyo binadamu, Ebitoke akilalama ntamuona zile komedi huwa haigizi bali ndio akili yake. Kuna vifaa ukichukua hata mkeo anaweza jisifu,"mchepuko wetu uko fine"
Hahaha. Unezibuka.

Eti "mchepuko wetu uko fine".
 
Apige mimba .. aache kuzubaa.. ! Coz huu binti najua hawezi kufunga ndoa na Ben pool, cha kufanya Ben piga mimba then mtoto atakuja kukutoa siku za mbeleni!
Mkuu kwanini hawezi funga ndoa na Ben Pol? Tupe uzoefu au unahisi wake wazazi watagoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…