Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

HIP HOP HAILIPI(KWA TANZANIA), PESA HUPATI, HATA WATOTO WAZURI HUPATI, UNADHANI MTOTO GANI MREMBO KWENYE 'PARTY' YAKE AMUITE MWANA HIP HOP AJE KUTUMBUIZA,
ANGALIA KIJANA WETU, KAITWA KUTUMBUIZA MWISHOWE KABEBA NA MWENYE SHEREHE... NAANZA KUIMBA SOON
Yaani mtu amualike Chid benz kwa mfano...
 
mshika mapembe wa kutajwa kwenye interview!
Huyu mrembo hana lolote la kupoteza kwa kumfanya ben awe mshika mapembe!
na hana chochote cha kugain akisema YES, HE IS MY MAN!
so being it amesema ,AH JAMAA KALA SHAVU!
asilaze damu sasa na kundekeza kulamba lips!
Sawa mkuu, acha tumtakie kila lakheri
 
Bidada ni mzuri na pesa ipo.... " Ila wanawake wengi wa kitanzania pesa hawana halafu wanaringa kwelikweli ngoja tuendelee kuoa wanawake wa nchi jirani....
 
weee!
HATA WANAUME hakuna MNAOFANANA!
acha kabisa kupendwa na mwanamke mwenye hela halafu kisu!
KWA AGE YA ben POL , kuanza kumwambia habari ya sijui virtue sijui nini mnamnuonea!
KILA UMRI UNA AINA YA MWANAMKE UNAONA UNAFAAA!
so this combo is EL PERFECTO!
jigeuze ue mwanaume ushuhudie nilichokwambia.....SAIVI
 
Apige mimba .. aache kuzubaa.. ! Coz huu binti najua hawezi kufunga ndoa na Ben pool, cha kufanya Ben piga mimba then mtoto atakuja kukutoa siku za mbeleni!
 
Mkuu kwa kiwango(muonekano) cha huyo binadamu, Ebitoke akilalama ntamuona zile komedi huwa haigizi bali ndio akili yake. Kuna vifaa ukichukua hata mkeo anaweza jisifu,"mchepuko wetu uko fine"
Hahaha. Unezibuka.

Eti "mchepuko wetu uko fine".
 
Apige mimba .. aache kuzubaa.. ! Coz huu binti najua hawezi kufunga ndoa na Ben pool, cha kufanya Ben piga mimba then mtoto atakuja kukutoa siku za mbeleni!
Mkuu kwanini hawezi funga ndoa na Ben Pol? Tupe uzoefu au unahisi wake wazazi watagoma
 
Back
Top Bottom