Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

Mkuu kwanini hawezi funga ndoa na Ben Pol? Tupe uzoefu au unahisi wake wazazi watagoma
hapo labda Ben Pol aolewe, but sio yeye kuoa! Ukiona kahamia Kenya, jua kaolea, but binti akija Tz jua Ben kaoa..!
Umenipata
 
Shabiki aliwahi kucomment kwenye page yake "Unaringa wakati pesa zenyewe za mama yako" Akamjibu wakati Mama yangu anatafuta pesa kwa ajili yangu mama yako alikuwa anafanya nini"? Sipati picha aliyejibiwa alijisikiaje.

Hongera kwa BP, manzi mzuri sana hasa kwa hili umbo tofauti na zamani akiwa kibonge.
 
hapo labda Ben Pol aolewe, but sio yeye kuoa! Ukiona kahamia Kenya, jua kaolea, but binti akija Tz jua Ben kaoa..!
Umenipata
Ni ngumu binti kuacha kampuni yake aje kuishi bongo na ni rahisi zaidi Ben Pol kuaminia Nairobi, ukizingatia demu tayari ana mijengo huko
 
Assume Sasa ndo kachukia wako ndani anamjibu Ben Pol
Wakenya wana shombo hasa akiwa na shule na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…