Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitongoze sasa ili wasikusumbue.Baba zao.
hapo labda Ben Pol aolewe, but sio yeye kuoa! Ukiona kahamia Kenya, jua kaolea, but binti akija Tz jua Ben kaoa..!Mkuu kwanini hawezi funga ndoa na Ben Pol? Tupe uzoefu au unahisi wake wazazi watagoma
Ni wajibu wako mwanaume kwani wewe majukumu ya wanawake unayafanya?Game iwe fair Kila mtu achangie, Sasa unakuta demu Hadi kufanya manicure na pedicure anaimba hela, tutajenga saa ngapi
mke wangu hanisumbuagi.Usitongoze sasa ili wasikusumbue.
Sasa malalamiko ya nini kama amekubali kukuleamke wangu hanisumbuagi.
Hahah....except yo' mom...😊😉Hapo hakuna mizinga ya ovyo ovyo kama ya hawa dada zetu wa JF!
kutokunisumbua si ishara ya kunilea, huenda atakua na busara kukuzidi.Sasa malalamiko ya nini kama amekubali kukulea
Hasa wakikuyu kama huyo.Jamaa anafaidi
Ila madem wa kikenya watata sana
Ova
Kukubali kufanya majukumu yako Ndo busara? Kila MTU apambane na majukumu yake.kutokunisumbua si ishara ya kunilea, huenda atakua na busara kukuzidi.
umeelewa nilichoandika?Kukubali kufanya majukumu yako Ndo busara? Kila MTU apambane na majukumu yake.
Sana tu...umeelewa nilichoandika?
ok.Sana tu...
Ni ngumu binti kuacha kampuni yake aje kuishi bongo na ni rahisi zaidi Ben Pol kuaminia Nairobi, ukizingatia demu tayari ana mijengo hukohapo labda Ben Pol aolewe, but sio yeye kuoa! Ukiona kahamia Kenya, jua kaolea, but binti akija Tz jua Ben kaoa..!
Umenipata
Assume Sasa ndo kachukia wako ndani anamjibu Ben PolShabiki aliwahi kucomment kwenye page yake "Unaringa wakati pesa zenyewe za mama yako" Akamjibu wakati Mama yangu anatafuta pesa kwa ajili yangu mama yako alikuwa anafanya nini"? Sipati picha aliyejibiwa alijisikiaje.
Hongera kwa BP, manzi mzuri sana hasa kwa hili umbo tofauti na zamani akiwa kibonge.
Assume Sasa ndo kachukia wako ndani anamjibu Ben Pol
Wakenya wana shombo hasa akiwa na shule na pesa