Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

Assume Sasa ndo kachukia wako ndani anamjibu Ben Pol
Wakenya wana shombo hasa akiwa na shule na pesa

Mapenzi na wanawake wenye hela kama jamaa nae ni mtegaji unaenjoy yakiwepo bado
Assume Sasa ndo kachukia wako ndani anamjibu Ben Pol
Wakenya wana shombo hasa akiwa na shule na pesa

Hahah ni kweli, ni wanawake wachache sana wanaweza kuvumilia kulea hata kwa miezi 6 mfululizo. Honestly nikijaribu labda kwa wiki mbili tu nachoka na kukinai. Kaka zangu mtafute pesa nasi tunawaombea mpate.
 
Ila wadada w kikenya wazuri kweli sema hawanaga wakaka wazuri
 
I am all men rolled into one, like the 99 summer jam.

And light can escape from a black hole, through spontaneous annihilation of one part of a pair of virtual particles, as elaborated by Stephen Hawking.
Hapo ndipo wapinzani wako unawapoteza kabisa
 
Sijawahi amini ben paulo alikuwa na uhusiano na ebitoke kaaabisa mwenye ushahidi tafadhali
 
Ajiangalie asije fanywa punda maana kule narcos ni wengi chini ya mwamvuli wa biashara
 
Anapeperusha bendera vyema kabisa na kuunga mkono kauli ya viwanda
 
Back
Top Bottom