Mpenzi wa JF!!

Jamani wewe bwabwa nimpeleke wapi sasa???Huyo wa kote kote ondoa kabisaaaaa!!!Ila huyo mwingine anakaribishwa!

Basi wewe size yako Mchungaji Masa huyo anakufaa wengine wizi mtupu jaribu kufunga na kuomba ili umpate.
 
jamani sio kihivyo hicho kitufe cha thanks hata cjui kilipo,ushamba huu jamani c unajua mashokolo mageni embu nielekeze nikutwange kimoja
We bwana....yani chakuriplai kwa quote umeona cha Thanks ndo kinapiga chenga???Mwanzo wa kilipo cha kuriplai!!!
 
Basi wewe size yako Mchungaji Masa huyo anakufaa wengine wizi mtupu jaribu kufunga na kuomba ili umpate.

Mchungaji hajatangaza nia sasa!!Au niwe mtandawazi nianze mimi???
 
We bwana....yani chakuriplai kwa quote umeona cha Thanks ndo kinapiga chenga???Mwanzo wa kilipo cha kuriplai!!!

Umeona mambo hayo atleast umenifumbua macho,sasa kumbe unanifaa ni Pm basi kazi ianze au bdo mchakato unaendelea?
 
sihitaji mawani hapa........Fidel, changamka hii ni strait to your inbox.
 
Mchungaji hajatangaza nia sasa!!Au niwe mtandawazi nianze mimi???
You might not be perfect TO me.........but you are perfect FOR me!

Naomba uni-PM fasta nikunong'oneze
 
Umeona mambo hayo atleast umenifumbua macho,sasa kumbe unanifaa ni Pm basi kazi ianze au bdo mchakato unaendelea?

Heheheh....nlidhani unabania!!!Bado bado napima uzito!!!
 
Agiza chochote utapendelea nini jioni hii?
Pochi iko safi lakini???Usije ukakimbia ukaniachia bili na mimi nimejiandaa kula tu sio kulipa!!!
 
lizzy pm unassoma shori mzuri
 
Ngoja nitafute style nyingine naona kama naelekea kuchinjiwa baharini!
 
Ingependeza sana kama bado tungekuwa tunachat but sijui kama utafaidi sana!
 
Pochi iko safi lakini???Usije ukakimbia ukaniachia bili na mimi nimejiandaa kula tu sio kulipa!!!

Pochi sio tatizo, k, una leseni ya udereva, I mean you know how to drive?
 
Mchungaji naomba uwe wangu wa ubani....natamani niwe mama mchungaji wako!!!:redfaces:

Naomba uandike kwa herufi kubwa, font Kubwa na Bold! Hadi Malaika wakisoma hii wakubaliane na malaika mkuu Gabriel
 
Pochi sio tatizo, k, una leseni ya udereva, I mean you know how to drive?

Ehhhh mara hii unataka kunitunuku na mchuma!!!Mambo sino hayo sasa!!!:whoo:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…