Mpenzi wa kiume anahitajika

Mpenzi wa kiume anahitajika

Tafadhali kwa wanaume kuna watu humu JF Wanajifanya mademu kumbe ni wanaume 100%, naombeni kuweni wagalifu sana mimi yamenitokea humu humu ndani? na ukianza kuchati nao wanakutumia picha za kwenye google.

Tena hao ndio wengi kuliko hata wanawake. Mtu bila aibu anajibadilisha jinsia?
 
Mpenz anapatikana popote, huyohuyo wa mtaani ndo atakuwa jamii forum, kuna mwenye vigezo pia lakin yupo mbali, kwani ni nini maana ya love connect? inakuwaje mtu anatafta mpenz /rafiki af mwingine aanze kumpondea? we should think big sometimes.

Umepima ukimwi?
 
KikulachoChako

Yaani umepiga bull. Lazima iwe ni hivyo au mwanaume anatafuta wajinga wa kutumiwa msg, ati nimefiwa na babangu Muhumbili mwili ni wa kusafirisha kesho na hela sina. Ptuuu
 
Last edited by a moderator:
Ushapata?
-Elimu unayotaka wewe ni ipi, nina shahada 1.
-Ni mstaarabu sana.
-Si mnene
-Mapenzi ya kweli yanategemea na ukweli wako.
-Napenda mwanamke mwembamba lakini asiwe mrefu, awe na umbo zuri.
-Sura ya kuvutia
-Asiwe mweusi sana.
-Kama umezaa haina shida mradi uwe bado unavutia.

Karibu.
 
Mh, ngoja ni PM, ndo bahati zenyewe hizi.
 
Ushapata?
-Elimu unayotaka wewe ni ipi, nina shahada 1.
-Ni mstaarabu sana.
-Si mnene
-Mapenzi ya kweli yanategemea na ukweli wako.
-Napenda mwanamke mwembamba lakini asiwe mrefu, awe na umbo zuri.
-Sura ya kuvutia
-Asiwe mweusi sana.
-Kama umezaa haina shida mradi uwe bado unavutia.

Karibu.
Mkuu kwa vigezo hivi tuma order kwa muumba....akutolee toleo lako kabisa........
 
Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli.

ni PM tafadhali.

'miss miss' ndio kitu gani!?
 
Mpenz anapatikana popote, huyohuyo wa mtaani ndo atakuwa jamii forum, kuna mwenye vigezo pia lakin yupo mbali, kwani ni nini maana ya love connect? inakuwaje mtu anatafta mpenz /rafiki af mwingine aanze kumpondea? we should think big sometimes.

kuwa mpole bint kuna watu wanavigezo ndo wanakupima hapa jinsi unavyoyatatua changamoto
 
Ushapata?
-Elimu unayotaka wewe ni ipi, nina shahada 1.
-Ni mstaarabu sana.
-Si mnene
-Mapenzi ya kweli yanategemea na ukweli wako.
-Napenda mwanamke mwembamba lakini asiwe mrefu, awe na umbo zuri.
-Sura ya kuvutia
-Asiwe mweusi sana.
-Kama umezaa haina shida mradi uwe bado unavutia.

Karibu.

mkuu naona unatoa vigezo na ww,ah ah ah haya brother endelea
 
Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli.

ni PM tafadhali.

Wewe yani umewamaliza wa chuoni, mtaaani bado unatuwinda na sisi?
 
umepima STI ,HIV, HEPATITIS PANEL IF YES AND RESULTS ARE NEGATIVE PM ME
 
Ww miss umekosa wanaume huko mazngira yanayokuzunguka.mmmhhhh hapa kuna namna.kwendraaaaa
 
Gu jumpyo mbona ni jina la kiume tena la kikorea? Inawezekanaje mdada ata kama ni fake id utumie jina la kiume?
 
Back
Top Bottom