Mpenzi wa Uwoya achanwa visu

Mpenzi wa Uwoya achanwa visu

anapenda vijana machachari ..vijana mangangari...hawachagui uwanja wa vita iwe uvunguni hata juu ya dali
 
those days mwanaume anapigwa rungu na shale tena za mti wa omoroghoro zinavunjika yeye anabaki imara , nyabhatimbaru kali inaisha makali, remembering the golden days of MARA
 
Wameshajuwa mwanaume mashine ni yuke mwenye sura ngumu....sio yule wa kujiangalia kwenye kioo kila wakati
 
Basi sawa ikikiki hii kutakua hakuna namna vijana itabidi wakahangaike kutafuta ngeu kama wanavyohangaika na mavumbi ya kongo!
Vumbi limekua adimu kipindi hiki, vijana wameishiwa vikopo vya vumbi. Juzi nilicheka kwelI, namwambia jamaa yangu nipo kigoma one time nashangaa anaanza kuniagiza vumbi.
 
Vumbi limekua adimu kipindi hiki, vijana wameishiwa vikopo vya vumbi. Juzi nilicheka kwelI, namwambia jamaa yangu nipo kigoma one time nashangaa anaanza kuniagiza vumbi.
hahaha vijana hawajiamini bila hiyo bidhaa siku hizi. Tatizo inapatikana mbali wangeujua huo mti ungeona kila mtu ukiingia getto kwake ameupanda kwenye kopo!
 
Utaolewa na majambazi kwa kutafuta Ngeu.
Daadeki. Akili mbovu hizi...
 
those days mwanaume anapigwa rungu na shale tena za mti wa omoroghoro zinavunjika yeye anabaki imara , nyabhatimbaru kali inaisha makali, remembering the golden days of MARA
Umenichekesha sana..
 
Ni ugonjwa wa akili, milembe unatibika vzr tu...ni sawa na ule wa baadhi ya wanaume wanaopenda mwanamke asieoga.
 
Back
Top Bottom