Savimbi JB
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 378
- 343
anapenda vijana machachari ..vijana mangangari...hawachagui uwanja wa vita iwe uvunguni hata juu ya dali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli aisee mkuuMademu kama hawa hawajawahi kukukazwa inavyotakiwa ndio maana majigambo mengi
Vumbi limekua adimu kipindi hiki, vijana wameishiwa vikopo vya vumbi. Juzi nilicheka kwelI, namwambia jamaa yangu nipo kigoma one time nashangaa anaanza kuniagiza vumbi.Basi sawa ikikiki hii kutakua hakuna namna vijana itabidi wakahangaike kutafuta ngeu kama wanavyohangaika na mavumbi ya kongo!
hahaha vijana hawajiamini bila hiyo bidhaa siku hizi. Tatizo inapatikana mbali wangeujua huo mti ungeona kila mtu ukiingia getto kwake ameupanda kwenye kopo!Vumbi limekua adimu kipindi hiki, vijana wameishiwa vikopo vya vumbi. Juzi nilicheka kwelI, namwambia jamaa yangu nipo kigoma one time nashangaa anaanza kuniagiza vumbi.
Sio kweli, Anajipa moyo, hauziki.Kila mmoja anataste yake wasimshangae.
Umenichekesha sana..those days mwanaume anapigwa rungu na shale tena za mti wa omoroghoro zinavunjika yeye anabaki imara , nyabhatimbaru kali inaisha makali, remembering the golden days of MARA
mwi mwo mwu!mwe!