Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Wameachana lakini Kimora kutwa kumsifia Djimon[emoji23]

Hata huyo Kenzo anapendwa sana kuliko hawa watoto wengine wa Russell...


Khaa!, heheh, aseh!

Hivi wana Kenzo tu, hawakupata wengine pamoja?!
 
Oooh una kumbukumbu sana Nalendwa...nilisikia hata mimi lkn nilikuwa bado jinga jinga sikufatilia [emoji23] [emoji23] ( utoto).... Kwa navyoona now ile Marc na Jada walikulana bana!

Ndo kipindi ndoa ya Marc ina mtifuano na ya Jada nayo inapumulia ICU....walikulana na jlo akajua!
 
Khaa!, heheh, aseh!

Hivi wana Kenzo tu, hawakupata wengine pamoja?!
No...wana Kenzo tu!

Hounsou juzi kati kampeleka Kenzo Benin kijijini kwao huko nyumba za udongo, seems kama Kenzo hakufurahia[emoji23] [emoji23]

Basi Kimora full kusifia kila picha kwenye page ya Djimon[emoji23] [emoji23]
 


Hahaha!, nakumbuka RN.
Mh, lakini Marc na Jada kulana kabisa?!!
Hivi kweli Will na Marc wangeweza kuwa marafiki karibu tena kama hivi walivyo, kama Will angeliwa mkewe?!
Ila ile chemistry yao haikuwa ya kawaida, romantic scenes zao ziliwapendeza kama couple ya ukweli.
Waliuzwa hili pia, kama kulikuwa na activities zinaendelea behind the scenes. Wakakanusha kuwa they're just good friends.

Hivi kisa cha ku break up na JLo, Marc ndo alicheat right?!
JLo relationships zake mshike mshike haswa. Labda huyu A rod atatulia nae sasa. Wanapendezeana wenyewe.
 
No...wana Kenzo tu!

Hounsou juzi kati kampeleka Kenzo Benin kijijini kwao huko nyumba za udongo, seems kama Kenzo hakufurahia[emoji23] [emoji23]

Basi Kimora full kusifia kila picha kwenye page ya Djimon[emoji23] [emoji23]


Heheh!, Kimora alikubali Kenzo kwenda kijijini..
Sasa mbona inaonekana Kimora bado anampenda Hounsou.
Au alipata boyfriend mwingine?!
 
Oooh ok!...Trump nae mwingi eeeh?
Kwahiyo ana watoto wangapi jumla?


Ana watano. Watatu wakubwa wa wife no.1.
Halafu Tiffany wa no. 2. then Barron wa Melania.
Trump naona ana damu ya Kiswahili! 😀
 
Mmmh JLO huwa hawezagi kukaa na mwanaume for so long, huwa anazikinai dushe mapema mnoo! Yaaan ana umalaya wa kiume!.... Yy anasema alimbwaga Marc sababu ya kusniff na kumpiga daily!( Ila itakuwa alimchoka kama kawaida yake) ndo akaenda kwa kale kaserengeti akakaa nacho akaona ni kamarioo ka mwendokasi akakamwaga akakanyang'anya assets alizokanunulia!

Sio kwamba katulia kwa Alex big no, jlo anazeeka sasa hivi asipotulia pale atampata wapi mwanaume mwingine kama Arod? Kama hajarudi kulisha vibenten vyake akina Casper!.... Na JLo kuhonga huwa inamuuma sana hela ake
 
Heheh!, Kimora alikubali Kenzo kwenda kijijini..
Sasa mbona inaonekana Kimora bado anampenda Hounsou.
Au alipata boyfriend mwingine?!
Kilichotokea btn Kimora na Hounsou ni exactly the same kinachompa uchizi Joyce superwoman[emoji123] [emoji123] ....nadhani umeelewa!
 
Ana watano. Watatu wakubwa wa wife no.1.
Halafu Tiffany wa no. 2. then Barron wa Melania.
Trump naona ana damu ya Kiswahili! 😀
Halafu kwanini wanaita majina yao watoto wao?[emoji15]

Kale ka Barron kana tabia mbaya[emoji23] sijui wanakaleaje!

Trump mbongo kabisa kasoro rangi tena mhaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


Eti anazi kinai! 😁😂😂
I can't with you! 😂😂

JLo huwa namfananisha na Halle Berry. Hawaja dumu kwenye ndoa, tena zaidi ya mara moja.
Halafu kuna fununu kuwa wanataka ku move to the next level na A rod. Walionekana pamoja Miami kwenye jewelry store, shopping for a ring. Labda akifanikwa this time atatulia. May be 4th time will be a charm.
 
Halafu kwanini wanaita majina yao watoto wao?[emoji15]

Kale ka Barron kana tabia mbaya[emoji23] sijui wanakaleaje!

Trump mbongo kabisa kasoro rangi tena mhaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Hawa wanavyoweka majina naona huwa wanakuwa so simple. I'm not sure kama huwa wanajali sana background na original ya jina la mtoto.
Barron atakuwa kama wakina Malia. Anakulia white house.
Yaani huyu Mkulu ni mwingi aseh!
Labda kwa sasa ambapo ana ulinzi 24hrs imebidi atulie.

Hahah!, hujatulia wewe, eti kabila gani?! 😀
 
Jlo anapenda kuolewa jamani mweeh!.... Tatizo kuzitunza hizo ndoa ndo kuna kazi!

Arod akimuoa ajiandae kibuti cha maana, tabia ya mtu ni kama ngozi!

Halle Berry naonaga katulia sema nahisi anapata wrong choice?

Sema sasa hivi jlo yuko happy sana tofauti na nyuma!
 
Haaahaaaa mhaya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jana umeenda kumzika KP?


Hahah!, haki wewe!

Muone Diddy hapa makaburini. Jamaa kama vile haamini amini anamwacha hapo..

"At the Evergreen Memorial Garden Cemetery in Columbus, Georgia, on Saturday, Combs sat near Kim Porter’s burial site by himself. Framed by two collections of flowers, he looked solemn in a tuxedo with a bow tie as he held what may have been a program.."

 


Labda atatulia na A rod, cos Alex anaonekana kafa sana na kuoza kwa JLo. Sio kama wapenzi wake wa nyuma.
Halafu sikujua A.rod ni mdogo hivyo kwa JLo. Wanaonekana kama wako sawa.

Halle Berry sijui huwa anapatwa na nini na wanaume wake.
Unakumbuka wale wawili waliopigana, nyumbani kwa Halle?!
Huyu wa mwisho waliendana lakini ndo hivyo, haiku work out. Sasa naona kaamua kupiga zoezi la nguvu tu.
 
Maskini daaaah![emoji22] [emoji22]....KP alimpenda diddy kiukweli, wengine wanamchuna tu!
 
Eeh mwaya Arod mdogo afu anaonekana jibaba sasa[emoji15] ....hebu waoane sasa waache kuzini!

Halafu umenikumbusha Halle, mchunguzage waume zake wote huwa age sawa na yy kama anapanga hivi[emoji23] David, eric na Olivier huwa ni the same age na yeye sijui why....huwaga nacheka!

Maskini siku hizi kaona aachane na mapenzi kagundua sio fungu lake[emoji22] ....mapenzi awaachie kina Bey mvumilivu uchumba sugu miaka 10+ hujaolewa[emoji15] ..eeeew! Beyonce kiboko yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…