Hahaah!, naona Jada hajui kukopesha. Anampa Will za uso hapo hapo...lol
It's cheaper to keep her, sababu ni kama haya tunayoongelea hapa. Waki divorce halafu kama hakuna prenutials ndio yatakuwa ya Tiger Woods na Erin. Will itabidi zimtoke haswaa, halafu wanawapa hayo mamilioni kutokana na miaka waliyo ishi pamoja ndoani, ama nusu kwa nusu.
Halafu Jada kwenye episode ijayo ya RED TALK ataongelea kuhusu divorce, kadokezea jinsi ambavyo anaweza kuleta zengwe!
😀
“For me personally, I’m not mature enough to have a divorce,” Pinkett Smith revealed. “I’m just not. I don’t think I would ever be mature enough. I don’t.”
When Braxton asked why, the mother of two explained, “Because when you have to start going in, breaking up assets, that right there…”
Nodding, Pinkett Smith continued, “Let me tell you, that’s when the red table turns upside down and it won’t be red no more!..“This’ll be smashed in shambles,” she added, knocking on her red table. “You know what I’m saying?”