Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Haaahaaa.....anashinda na pajama ili iwe rahisi kutoa kiba100 chake kwa totoz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mzee alitia fora kwa kweli. Yaani PJs ndo likawa vazi lake rasmi! [emoji38]
 
Hahaah!, naona Jada hajui kukopesha. Anampa Will za uso hapo hapo...lol

It's cheaper to keep her, sababu ni kama haya tunayoongelea hapa. Waki divorce halafu kama hakuna prenutials ndio yatakuwa ya Tiger Woods na Erin. Will itabidi zimtoke haswaa, halafu wanawapa hayo mamilioni kutokana na miaka waliyo ishi pamoja ndoani, ama nusu kwa nusu.
Halafu Jada kwenye episode ijayo ya RED TALK ataongelea kuhusu divorce, kadokezea jinsi ambavyo anaweza kuleta zengwe! 😀

“For me personally, I’m not mature enough to have a divorce,” Pinkett Smith revealed. “I’m just not. I don’t think I would ever be mature enough. I don’t.”
When Braxton asked why, the mother of two explained, “Because when you have to start going in, breaking up assets, that right there…”
Nodding, Pinkett Smith continued, “Let me tell you, that’s when the red table turns upside down and it won’t be red no more!..“This’ll be smashed in shambles,” she added, knocking on her red table. “You know what I’m saying?”
Jada nae mi hata simuamini ...ubavu wa kumuacha Will hana yule, coz mara kibao anamfumania anang'aka baadae anapotezea!

Hii mikwara ni attention ya kipindi chake hicho na pia audience walimwambia azungumzie ndoa yake ndo unamuona humo red table anajisemesha semesha!
 
Source ya ndoa yao kuwa void eti Brad alikuwa anachukia wale adoptive children wa Angie yaani eti ni wengi mnoo, kingine eti Angelina mlevi, mgomvi kitu kidogo anakushikia kisu ( utadhani msomali[emoji28] [emoji23] )

Angeline nae anasema Brad alikuwa anampiga kama ngoma!
Yale yale ya Jlo na Marc...


Hivi Marc alikuwa abuser?!, mbona hajakaa hivyo aseh!
 
Zile scar usoni I think alipataga ajali. Kama nakumbuka vizuri kuna mahala alisema..

Hivi uliwahi sikia ni kwa nini Heidi alimzimia Seal?!
Hivoo?... Kaka ake eti anasemaga ana lupus sijui

Heidi alimzimia kwa nini? Sijawahi sikia
 
Kwakweli Kimora na Djimon hawakuendana kabisa..utadhani houseboy wake haki tena!
Ila Kimora ana strong feeling na Honsou, anampenda huyo jamaa sana!
Sijui ni on bed alikolezwa....


Nilifikiri ni mwenyewe niliona hivyo..wako tofauti kwa kweli.
 
Halafu I think Jay ali mention mahala, kuwa Bey ndo spinal cord ya ndoa.

Usikute Bey asinge kuwa na msimamo Jay nae angekuwa kama Diddy sai! 😀
Yes ...Jay huwaga hamzimikii Bey sijui kwanini, hivi unajua hadi bidada anamuhonga assets, cash ( MasterCard ya Bey inamilikiwa na Jay) halafu linaenda kuhonga striper, hadi yule mshona nguo Roy, vidada 20's vinakamatia mshiko wa hov na jamaa unaambiwa anahonga kinoma...usimuone Bey anajichekesha chekesha ukaona anafaidi hana lolote!...siri zake nyingi Kelly Rowland ndo anazijua na anazifichua kwa mahater wa Bey
 
Haaaahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ....nilihisi

Yale yale ya Kimora Lee na Djimon
Kimora nae ndo sababu ya kumzimia jamaa?!, [emoji3]

Hawa Wa West hawa...[emoji28]
 
Kimora nae ndo sababu ya kumzimia jamaa?!, [emoji3]

Hawa Wa West hawa, sijui ni hizo pepper soup wanakula..[emoji28]
Wameachana lakini Kimora kutwa kumsifia Djimon[emoji23]

Hata huyo Kenzo anapendwa sana kuliko hawa watoto wengine wa Russell...
 
Nilichoka....ila kwa unga yawezekana jamaa anafanania na mateja, ila kwa kipigo kama jlo alivyolament sijui
Halafu kukawa na rumors kuwa alitoka pia na Jada. Lakini naona walisema vile kutokana na Ile show yao walikuwa pamoja ya RN. Walikuwa na chemistry ya nguvu sana when it came to romance mpaka ikawa questionable.

Sidhani walitoka lakini cos Marc and Will seem to be good friends.
 
Back
Top Bottom