Maskini daaaah![emoji22] [emoji22]....KP alimpenda diddy kiukweli, wengine wanamchuna tu!
Eeh mwaya Arod mdogo afu anaonekana jibaba sasa[emoji15] ....hebu waoane sasa waache kuzini!
Halafu umenikumbusha Halle, mchunguzage waume zake wote huwa age sawa na yy kama anapanga hivi[emoji23] David, eric na Olivier huwa ni the same age na yeye sijui why....huwaga nacheka!
Maskini siku hizi kaona aachane na mapenzi kagundua sio fungu lake[emoji22] ....mapenzi awaachie kina Bey mvumilivu uchumba sugu miaka 10+ hujaolewa[emoji15] ..eeeew! Beyonce kiboko yao
Hivoo? Southern girls wavumilivu eeeh?....Bey konyoo jamani!Eti sio fungu lake...lol.
Halafu baada ya ndoa ya pili kuvunjika alisemaga ndoa basi, na akaja ku fall kwa Olivier. Lakini ndoa haikufanikiwa tena..
Bey ni southern girl yule, atakuwa na strong beliefs na ties katika family.
Yaani hakati tamaa na ndoa wala mwanaume. Imagine labda angekuwa mwingine, Jay angeshamwagwa kitambo na kuwa replaced na mwingine.
At least wakina kimora na Nikki wana brands zao....seems kp alikuwa jobless baada ya umodel?Acha tu, halafu hata status yake haikuwa cha mtoto. Ni zile level za wakina Kimora, Nicole. Sema ndo hivyo, too bad she didn't get the right guy to settle with.
..Nasikia jigga mwingi kweli, na akilewa anahadithia jinsi demu alivyofosi ndoa!
Sasa anajifanyaga kumzimia Riri hivi wangewezana kweli?
Hivoo? Southern girls wavumilivu eeeh?....Bey konyoo jamani..
At least wakina kimora na Nikki wana brands zao....seems kp alikuwa jobless baada ya umodel?
Hlf ni cousin hawaYes ...Jay huwaga hamzimikii Bey sijui kwanini, hivi unajua hadi bidada anamuhonga assets, cash ( MasterCard ya Bey inamilikiwa na Jay) halafu linaenda kuhonga striper, hadi yule mshona nguo Roy, vidada 20's vinakamatia mshiko wa hov na jamaa unaambiwa anahonga kinoma...usimuone Bey anajichekesha chekesha ukaona anafaidi hana lolote!...siri zake nyingi Kelly Rowland ndo anazijua na anazifichua kwa mahater wa Bey
Yes mkuu...ni cousinHlf ni cousin hawa
Ungaaachakula cha nyoka yupi, wa kwenye mashimo ardhini au nyoka wa ndani ya suruali?
Bro.Muangalie orprah alivyo sasa hivi anaonekana mdogo na sura ya kisichana ukilinganisha alivyokuwa 30 yrs ago. Pia muangalie tony braxton. Ila pia ni kulinga na genes za mtu hata ukienda under the knife na huna genes nzuri utakongoroka tu kama michael jackson. Mjane wa elvis presley alikuwa tishio enz za ujana wake lakini sasa hivi ukimuona licha ya maplastic surgery anatisha
Sky Eclat
Uwe unasoma unaelewa, anamwongelea mjane wa Elvis PresleyBro.
Elvis Presley umeona wapi sasa hivi aseeh?
Mbona alifariki mwaka 1977
Sasa huko ulikomwona kakongoroka ni wapi tujutane.
Mtu amefariki miaka 44 iliyopita
Ahsante.Uwe unasoma unaelewa, anamwongelea mjane wa Elvis Presley
wapo wote kuzimuBro.
Elvis Presley umeona wapi sasa hivi aseeh?
Mbona alifariki mwaka 1977
Sasa huko ulikomwona kakongoroka ni wapi tujutane.
Mtu amefariki miaka 44 iliyopita
Msiba upo wapi?Mwanamitindo na Muigizaji wa filamu, Kim Porter, ambaye pia alikuwa ni mpenzi wa Mwanamuziki Sean Combs au Puff Daddy (P. Diddy), amefariki dunia nyumbani kwake usiku wa jana (Alhamisi) akiwa na umri wa miaka 47.
Porter na Diddy walifanikiwa kupata watoto watatu katika mahusiano yao yaliyodumu tangu 1994 na kuvunjika 2007. Mtoto wa kwanza akiwa ni Christian mwenye umri wa miaka 20 hivi sasa, na mabinti mapacha wawili wenye miaka 11.
Japo chanzo cha kifo chake hakijaelezwa bado, ila marehemu alikuwa akisumbuliwa na mafua makali yaliyoambanatana na pneumonia.
Mungu ailaze roho ya Kim Porter mahali pema peponi.
Amen!
View attachment 935800View attachment 935801